PONGEZI KWA JF...we are real the great thinkers

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
kwanza nitoe pole kwa waTz wenzangu kwa ajari ya meli iliyotokea kisiwani CHUMBE,Mungu awape moyo wasubira wote waliokutwa na ajali hii. najinadi kwa nguvu kusema Hongera JF kwa kuwa chombo cha kwanza kueneza habari za ajali hii.

Binafsi taarifa za ajali nimezipata kwa mara ya kwanza kupitia humu,wakati huu vyombo vingine vikipiga miziki (kuanzia saa 7-10 redio karibia zote hupiga muziki tu) JF ilikuwa macho kutuhabarisha watanzania juu ya ajali hii..

vyombo vyetu vya habari Tanzania vimelala,narudia tena vimelala tena usingizi wa pono.
hongera JF...
 
Back
Top Bottom