Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WATU 43 wenye asili ya Kisomali, wamekutwa wamekufa wakiwa ndani ya lori wakati wakisafiri kutoka mkoani Arusha kuelekea Mbeya. Mbali na kukutwa na maiti hizo pia ndani ya lori hilo kulikuwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huko Arusha katika Hotel ya Mount meru, yanaitwa Gems, jewelry and Mineral Fair East and southern Africa. Kumbukeni kuwa mwaka 2009 ilipitishwa bungeni kuwa madini yote ya Vito yachimbwe na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
WADAU WOTE :hat: TAFADHALINI HUSIKENI NA KICHWA HUSIKA HAPO JUU KUNA HUYU JAMAA ANAITWA SHEIKMOUN HALAHALA AL-MAARUFU KAMA HALA HABIB. HUYU JAMAA ANAJUANA NA MIRAJI NA RIZ1 HIVYO BASI HUTUMIA...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Naanza kuufuatilia huu msitu kujua kwa nini umekuwa mahali panapopokea roho za watanzania wasio na hatia .............................................................................
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Wiki kama mbili zilizopita nimemtumia mtu wangu vitu viwili nilivyovifunga katika mfuko. Kwa njia ya register nikavituma mkoa mmoja hapa Tanzania kutokea hapa Dar. Cha kushangaza aliyepokea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Stori:Mwandishi Wetu HUKU majonzi yakiwa bado yametawala miongoni mwa Watanzania kufuatia vifo vya watu waliokuwa ndani ya meli ya MV Skagit ambayo ilipinduka na kuzama Julai 18, 2012 karibu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hii imetokea manispaa ya Iringa Maombolezo Bendera ya Taifa 1/2 mlingoti na ile ya Halmashauri kama kawa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Aliyekitengeneza hakukihitaji, aliyekinunua hakukitumia, aliyekitumia hakukiona.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Naomba msaada sehemu ya maduka wanayouza vitu original kama leci wig, gundi ya leci wing na saloon nzuri pia naomba kujuzwa maduka ya nguo za kike. Asanteni.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
President Kagame talks to NTV's Linus Kaikai - YouTube
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya utafiti, inaonyesha Watanzania wengi kama sio wote ni wasahaulifu, wanayumbishwa kirahisi. Haijapita hata wiki, tangu Kova atoe ripoti yenye utata, watanzania...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF, Napenda Kumweleza kibonde mambo machache tuuu esp katika sakata la wabunge wa zanzibar kutoka nje ya Bunge. kwa maoni yake kibonde alivyo kuwa akijadiri baada ya wabunge kupata habari...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Mtangazaji mmoja wa kike alikabwa kiajabu usiku wa kuamkia leo huko Mbeya. Kwa mujibu wa kipindi cha Morning Talk kinachorushwa na Radio Ebony FM ya mkoani Iringa, Mwanadada huyo alikumbwa na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hapo chini ni takwimu kutoka mitandao kusanya data, kumbe wanaija wanaingia humu sana (#4 kwa nchi tembeleaje JF, 1.7% ya watembeleaje) kwa hisani ya tovuti..... Jamiiforums.com has 4 years old...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Imebidi niitazame hii soda mara mbili mbili. Ni kweli imeandikwa sparletta ila ladha yake sio. Ni ladha ya soda nyingine. Hili linawezekanaje wandugu? Si ndio mwanzo wa kulishana visivyohusika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeshikwa na hasira mpaka zimeniisha,sielewi kwa nini wanabagua mtu wa kumfanyia haraka na mtu wa kumfanyia baada ya mwezi,namaanisha hapa ningekua ni kigogo usiku huo huo mngekuja haraka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nipo kwenye basi la simba mtoto sasa hivi ndo tunaingia tanga, mbele ya kiwanda cha tanga fresh kuna mizani ambayo lazima basi lipite kupima uzito, siti za mbele kuna kama trafic polis 6 hv...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Dr Mwakyembe amesema kuwa kujiuzuru si suluhu ya kila kitu,ameyasema hayo akiwa zanzibar, Kauli yake hii inahusiana kabisa na tukio la ajali ya Meli huko Visiwani,,,, Sosi:Nipashe Najiuliza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina uhakika hili la ajari halitaisha kwa serikali hii!! Kwanza serikali kupitisha sheria ya kununua vitu vilivyotumika (chakavu) Yale yalikuwa ni makosa makubwa!! Huwezi kumtuma mtu ambae ajala...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo meneja wa NSSF mkoa wa mara akiwa pamoja na HR meneja wa BARRICK NORTH MARA wamewatangazia wafanyakazi kwamba serikali imetoa TAMKO leo kwamba wanachama wote wa mifuko ya hifadhi ya jamii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…