MAAJABU:Yaani hata trafiki wanafanya.!

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Nipo kwenye basi la simba mtoto sasa hivi ndo tunaingia tanga, mbele ya kiwanda cha tanga fresh kuna mizani ambayo lazima basi lipite kupima uzito, siti za mbele kuna kama trafic polis 6 hv, chaajabu wao ndo wamehama kutoka siti za mbele na kuja kwa nyuma ili kubalance uzito wa basi..yaani nchi hii ya ajabu kabisa
 
unashaangaa trafk? Je unafahamu ilipo ofic ya meli iliyozama zenj? Haya yanapatikana na kuwezekana bongo pekee
 
Polisi wenyewe hawa wanaolipwa posho laki moja badala ya laki unusu inayosomeka kwenye nyaraka?kwann wasiwe washiriki wa uhalifu
 
Nipo kwenye basi la simba mtoto sasa hivi ndo tunaingia tanga, mbele ya kiwanda cha tanga fresh kuna mizani ambayo lazima basi lipite kupima uzito, siti za mbele kuna kama trafic polis 6 hv, chaajabu wao ndo wamehama kutoka siti za mbele na kuja kwa nyuma ili kubalance uzito wa basi..yaani nchi hii ya ajabu kabisa

Wamelipa nauli?
 
:israel:unashangaa hilo mkuu? huoni Kova alivyo act movie yake isiyo na starring? hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo :israel:
 
Nipo kwenye basi la simba mtoto sasa hivi ndo tunaingia tanga, mbele ya kiwanda cha tanga fresh kuna mizani ambayo lazima basi lipite kupima uzito, siti za mbele kuna kama trafic polis 6 hv, chaajabu wao ndo wamehama kutoka siti za mbele na kuja kwa nyuma ili kubalance uzito wa basi..yaani nchi hii ya ajabu kabisa

Hahahah..hiyo ngumu kumesa aisee...ningeitaji ku quenvh thirst na ka-attachment.
 
Nipo kwenye basi la simba mtoto sasa hivi ndo tunaingia tanga, mbele ya kiwanda cha tanga fresh kuna mizani ambayo lazima basi lipite kupima uzito, siti za mbele kuna kama trafic polis 6 hv, chaajabu wao ndo wamehama kutoka siti za mbele na kuja kwa nyuma ili kubalance uzito wa basi..yaani nchi hii ya ajabu kabisa

Du ni noma
 
si hawa waliopanda hapa 4h
 
Kama walikuwa traffic 6, basi labda ilikuwa ni TUME ya kuchunguza mizani. Tusubiri ripoti ya TUME.
 
Back
Top Bottom