Shirika la POSTA mbona hamuaminiki mnapopewa amana?

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Wiki kama mbili zilizopita nimemtumia mtu wangu vitu viwili nilivyovifunga katika mfuko. Kwa njia ya register nikavituma mkoa mmoja hapa Tanzania kutokea hapa Dar.

Cha kushangaza aliyepokea hakupata kimojawapo. Why? Na wakati vyote vilikua vimefungwa kwenye mfuko mmoja.
Wafanyakazi wa posta munalididimiza shirika hilo bila kujua. Uaminifu ni kitu kizuri sana. No wonder shirika hali-perfom.

Kwa wizi huo na wa aina nyingine siku shirika likifungwa nyie na familia zenu mtakua hamna pa kwenda au itawachukua muda kupata kwa kwenda. Sidhani kama mimi victim nitawaonea huruma.

Jirekebisheni
 
Pole Mkuu nimesikia watu wengi wakilalamika kuhusu hili!! kwani huu mchezo ulikuwepo miaka ya nyuma haswa kwa vitu vitokavyo nje ya nchi naona wameanza tena... Wasamee mkuu Njaa inawatesa so wanadhania kuwa wanaweza bahatisha vitu muhimu vikawatoa maishani na Dhiki ikawaisha.....

Ila kuna umuhimu kumtaarifu Mkurugenzi mkuu wao kwani wakikemewa au sehemu husika na vifurushi ikawekwa CCTV huo mchezo wataacha au kumalizika kabisa
 
Turu aisee. Nikipata muda week ijayo nataka niende nikafikishe ujumbe huo.

Hivi hatunaga njia nyigine zaidi ya hii?! Shame on 'em workers
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom