Ajali zitaongezeka...kwakuwa waliosababisha ni serikali kwakuruhusu ununuzi wa vitu chakavu.!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali zitaongezeka...kwakuwa waliosababisha ni serikali kwakuruhusu ununuzi wa vitu chakavu.!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Jul 20, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Nina uhakika hili la ajari halitaisha kwa serikali hii!!
  Kwanza serikali kupitisha sheria ya kununua vitu vilivyotumika (chakavu) Yale yalikuwa ni makosa makubwa!! Huwezi kumtuma mtu ambae ajala siku tano ukampa bakuli la ubwabwa apeleke kwa mgonjwa wakati yeye ajala!!lazima atadokoa...!!
  Kwa misingi hiyo...Ajali,Meli,ngege,Zitakuwa nyingi hasa kwenye taasisi zinazomilikiwa na serikali!
   
 2. s

  silent lion JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  na hususan wanaokufa ni wanyonge, ingekuwa wanakufa watoto wa vigogo nafikiri hatua zingechukuliwa
   
 3. S

  Smarty JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  ngege.....kikwetu unamaanisha samaki aina ya sato mkuu.....
   
 4. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Naomba kujua ule mswaada wa kununua vitu vilivyotumika (second hand) kama ndege, meli n.k uliofikishwa Bungeni kipindi fulani umeishia wapi?
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  sijakusoma bado, ungekaribia kwenye tageti ukatutajia vyombo chakavu vya SERIKALI vilivyopata ajari. Btw, labda dege la atcl but vyombo vingi vinavyopata ajari na kuua maelfu ni vya viongozi wa nchi. Hata hivyo, meli iliyozama juzi haikuwa chakavu bali ilikuwa sudstandard ndo maana hata ilivyouzwa zanzibar huko Colorado walisikitika kwa kuwa walijua kuwa inaenda kumaliza maisha ya watu masikini.
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo ni type error ...nilikuwa namaanisha Ndege..asante kwakuliona hili!!
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Nilichokuwa na gusia hapa nikuwa..kutokana na mswada washeria uliopitishwa..juzi..kuruhusu serikali kununua vyombo chakavu haswa vitu kama meli,Ndege,Train....nk..Vitakuja kuongezeka kwakuwa ipo sikuwanunuzi watanunua vyombo kama vya MV.sagel kwakuwa nivyombo ambavyo vilishatupwa...!Na kwkuwa kinachotusumbua cha 10%Ndo tatizo lilopo!!
   
Loading...