Mshangao! Nimekunywa sparletta yenye ladha ya Fanta Passion | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshangao! Nimekunywa sparletta yenye ladha ya Fanta Passion

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raia Fulani, Jul 21, 2012.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Imebidi niitazame hii soda mara mbili mbili. Ni kweli imeandikwa sparletta ila ladha yake sio. Ni ladha ya soda nyingine. Hili linawezekanaje wandugu? Si ndio mwanzo wa kulishana visivyohusika? Naomba wahusika wa Coca watueleze hili linawezekanaje.
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Vumilia tu ndugu yangu. Kigogo walikunywa chemicals
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,004
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Ushaimaliza afu ndo unauliza au umeonja tu?
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Wapeleke mahakamani wakulipe fidia. Ona wanaojua haki zao kisheria wangelifanya nini! Soma case hii[FONT=&quot]
  Donoghue v. Stevenson[/FONT]
  [FONT=&quot] [1932]. Utapata hela ya bure[/FONT]
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Shukuru Mungu,anza mbele,omba tu usiumwe tumbo!
   
 6. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  M2 wang co we 2 hata me niliwah pata ladha kama hiyo kweny hiyo soda.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Yani nimeinywa hadi nikaimaliza hivyo hivyo. Kibongobongo kupeleka mashitaka kama hayo ni kupoteza muda pia. Nasali tu nisiumwe tumbo
   
 8. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Isije ikawa umechanga test wewe mwenyewe
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Duh! Hawa jamaa wanatufanyia majaribio laivu?
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  soda zote mbili najua ladha zake mkuu. Aidha wamejichanganya au wana sababu ya kufanya hivyo. Ila ni makosa makubwa sana!
   
 11. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,004
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Mwezi wa tatu watengenezaji wa maziwa mara na strowbery walishiwa mabox ya strowbery yougut, ilibidi wawe wanatumia mabox yenye nembo ya Maziwa Mara, wakadelete kwa marker pen Maziwa Mara na kuandika Strowbery.

  Hii ndo tanzania inayotaka kushindana na kesha kwenye soko la EAC.
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Packaging imekuwa tatizo kubwa kweli. Unarahisisha just kwa kukata na marker pen? Wabongo watu poa sana. Pia jana nimeona kupitia itv kuwa bonite wamezindua soda za chupa ya plastik. Yawezekana kabisa hawana chupa za kuwatosha ndo maana wakaamua kuchakachua, na sasa wakaona haja ya kuwa na chupa za plastiki.
   
Loading...