huwezi kumlinganisha huyu rais na kikwete hata kidogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huwezi kumlinganisha huyu rais na kikwete hata kidogo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by beyanga, Jul 21, 2012.

 1. b

  beyanga Senior Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kumlinganisha Mkweree na Kagame ni sawa na kulinganisha Usiku na mchana!!! Kagame is in class of his own among East African leaders.
   
 3. b

  bashemere Senior Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kikwete anasema ni vigumu kupambana na rusha wa badala ya kusema atapambana nayo is a weak president in tanzania ever
   
 4. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Kikwete yeye riziwani wanakula rushwa atampambanaje na ruswa?
   
 5. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,735
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mi ninachosikitika ni kwamba tunaelekea kumaliza miaka kumi bila kuwa na rais, hata akija mgeni akiona jinsi mambo yanavyoendeshwa atakuuliza uchaguzi wa rais mnafanya lini?
   
 6. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kikwete alipoenda usa juzi juzi aliomba apewe mabilioni na ataitransform tanzania.Nadhani werema alipokuwa anaongea jana kwamba kuna vichwa vyenye nywele bila akili alikuwa anamaanisha vichwa kama hki toka kwa wenzetu wakweree.Kagame anasema angepewa nafasi achague nchi gani atawale afrika angechagua tz,maajab!
   
 7. D

  Dopas JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jk ni sehemu ya rushwa kwa sababu ya udhaifu wa uongozi wake, unaosababishwa ama na yeye mwenyewe au na washauri wake, hivyo ni vigumu kuwa nia, sembuse kupambana na rushwa.
   
Loading...