natimiza wiki sasa tangu nipige simu tanesco emergency kuelezea tatizo la umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natimiza wiki sasa tangu nipige simu tanesco emergency kuelezea tatizo la umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mirindimo, Jul 20, 2012.

 1. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Nimeshikwa na hasira mpaka zimeniisha,sielewi kwa nini wanabagua mtu wa kumfanyia haraka na mtu wa kumfanyia baada ya mwezi,namaanisha hapa ningekua ni kigogo usiku huo huo mngekuja haraka sana,lakini kwa sababu ni kabwela acha niteseke kwanza ! Ina maana gani sasa nyie kuitwa emergency ? Kama ni isue kubwa si mngekuta maafa ? Au mnataka maafa yatokee ndio mkiri kweli alipiga simu na tulipanga tukaangalie tatizo ? Kama kuna boss anasoma hapa naomba mjue kua tanesco ni ya vigogo na walala hoi, halafu kinachoniumiza tunaofanyiana hv wote walala hoi , jamani kama kuna mchango natakiwa kutoa mniambie nitoe mje eeeh jamani , hii si haki kabisa! Inaniuma sn siwezi endelea andika vidole vimechoka ila sikui mkikaa kwenye 18 zangu mtajuta na familia zenu na mimi ntaonesha makucha yangu !
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  shida yako ninini?
  tanesco wapi?
  walikupa namba ya taarifa?
   
 3. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,562
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Kumbe wewe huwajui hao, nilishawahi kuwaita wakakaa 3 weeks, nikiwa nimeshatatua tatizo kwa kutumia kishoka nimesahau.Suku hiyo after 3 or 4 weeks hivi wananipigia simu eti wamekuja wanataka tuonane, sasa wanauliza kama kuna hela japo ya maji.Nikawaambia wakae bar ya jirani waagize wanavyotaka niko njiani nakuja.Sikwenda wakanipigia sana wamesha kunywa bia na nyama, nikawaambia nakuja siko mbali.Baadae nikawaambia siji tena nalala Kisarawe acha wanitukane kwa hasira, namimi japo nililipa manake nilitumia hela na kupoteza muda kuwatafuta, ikawa draw!
   
 4. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Tanesco kimara, shida yangu kuna mti ambao nahisi umetibu nyaya zinazokuja nyumbani na kusababisha umeme kuwaka na kuzima na baadae ukazima kabisa ni wiki sasa kila ukipiga wanakuambia watu wetu watakupitia hapo subiri kuna siku nliwaamini nikasubiri siku nzima bila kufanya shughuli yoyote! Namba unayosema nimepewa nnayo, sasa tukitafuta vishoka tunalaumiwa wananchi sasa tufanye nini unafikiria kama mambo ndio hivi hata kama wanataka hela waje basi ntawapa hiyo hela ! Hii inauma sana hasa kwa mtanzania mzalendo na wa hali ya chini na hakuna siku nimechelewa kulipa umeme !
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  piga tanesco magomeni
  omba namba ya meneja wao
  mpe hiyo namba ya taarifa
  mwambie upo gizani wiki
   
 6. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Natamani nipate hiyo namba ya huyo manager,nlienda pale wakanirushia mlangoni kua nirudi nisubiri watakuja watu kutoka mbezi , kama kuna mtu ana hiyo namba ya manager ani inbox ttafadhali
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  google mtandao wa tanesco
  zipo hizo namba
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Piga hii namba afu awash moto wa kiukweli
  0788379696
   
 9. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  na unatimiza miaka miwili sasa toka uichague serikali dhaifu....jipange mkuu
   
 10. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Safi sana,mimi penda hii
   
Loading...