Wasomali 43 Wafa Ndani ya Lori Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasomali 43 Wafa Ndani ya Lori Dodoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Jun 27, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD]
  WATU 43 wenye asili ya Kisomali, wamekutwa wamekufa wakiwa ndani ya lori wakati wakisafiri kutoka mkoani Arusha kuelekea Mbeya.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Mbali na kukutwa na maiti hizo pia ndani ya lori hilo kulikuwa na jumla ya watu 70 ambao walinusurika kufariki lakini hali zao zilikuwa haziridhishi.

  Watu hao walikutwa wamepoteza maisha wakiwa wanasafiria lori la kubebea mizigo wakisafiri kwa njia za panya.

  Imedaiwa kuwa, watu hao walikufa baada ya kukosa hewa kwa muda mrefu wakiwa katika lori hilo na walibainika kufa wakiwa katika kijiji cha Chitego Dodoma.

  Maiti hizo zimehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya Kiteto na majeruhi wanashikiliwa kufuatia tukio hilo.

  Hata hivyo imedaiwa kuwa, dereva aliyekwua akiendesha lori hilo alikimbia.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [​IMG]


  Wasomali 43 Wafa Ndani ya Lori Dodoma
   
 2. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Inasikitisha mkuu huu uzembe uliofanywa ni wa ajabu sana
   
 3. h

  hargeisa JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  acha uongo ni wa ethiopia hao.
   
Loading...