Mabwepande: Msitu wa mauaji kwa wenye haki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabwepande: Msitu wa mauaji kwa wenye haki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Daniel Anderson, Jul 15, 2012.

 1. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naanza kuufuatilia huu msitu kujua kwa nini umekuwa mahali panapopokea roho za watanzania wasio na hatia


  .............................................................................
   
 2. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,571
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni Golgota ya TZ!
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sometimes inabidi uende na nape akuelekeze wanapoulia watu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. r

  rwazi JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .huna haja ya kufuata data muulize kova atakuelekeza
   
 5. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,617
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ....kuna roho zingine msitu unazikataa pia.:eek2:
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,336
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Sio kila Roho wanayoitaka wao,itatolewa Mabwepande!!!
   
 7. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka sawa hapo mkuu
   
 8. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,107
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Muasisi wa hilo eneo ni Abdalah Zombe, yeye ndio anaweza akatueleza vizuri sana!
   
 9. F

  FUSO JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,124
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  ukubwa wa mabwepande ni km za mraba 25. unatosha kabisa kujenga mji mpya new mabwepande city project badala ya kufikiria kubomoa vibanda vya walalahoi kule kigamboni.
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,341
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  nadhani kunahaja ya kuangalia majina ya maeneo vizuri: msitu wa Pande viz a viz mabwepande. Tujitofautishe na wale wasiojua kutofautisha rais nyerere na rais aliyeko madarakani.
   
 11. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,619
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kaka unaelewa maana ya Msitu?
   
 12. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hahaha. nafikiri tunahitaji pia madarasa ya kufundishana madhara na namna ya kupunguza hewa ya ukaa angani hapa jf.
   
 13. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,085
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  This's really great thinking. "LIKE"
   
 14. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  aaaarrrgggjjhhhh...kuna watu wanajidai wafuatiliaji...sasa kuna kitu gani cha kufuatilia hapa,?
   
 15. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kwa taarifa nilizozipata ni kwamaba kila nchi inakua na msitu unaotumiwa na usalama wa taifa kwa ajili ya shughuli hizo..kwa tanzania hususana ukanda huu wa pwani msitu wa mabwepande nda maalum kwa ajili ya usalama wa taifa..sehemu ya kuwapumzisha wanaharakati na wapigania haki....
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,603
  Likes Received: 3,086
  Trophy Points: 280
  Tununue mapanga na mashoka tuufyekelee mbali
   
 17. F

  FUSO JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,124
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  hifadhi ya taifa katikati ya makazi ya watu?
   
 18. F

  FUSO JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,124
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  siku dingi yako akikutwa kule hana uhai ndiyo utatambua umuhimu wa msitu huu katika kupunguza hewa ya ukaa angani.
   
 19. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  BABANGU mimi alishakufa toka mwaka 1997, usinikumbushe nisije lia mimi....
   
 20. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Pori la nini Mjini, lipimwe viwanja kwa waotaka Kigamboni kuondoa bugudha kwa watu wa Kigamboni. Mh.Ndugulile tuko pamoja achana na hao madiwani wanaoongozwa na Diwani Jambazi.
   
Loading...