Utata wa Riport Y a Kova Ushasahaulika Baada Ya Ajali Ya Meli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utata wa Riport Y a Kova Ushasahaulika Baada Ya Ajali Ya Meli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Jul 21, 2012.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,004
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya utafiti, inaonyesha Watanzania wengi kama sio wote ni wasahaulifu, wanayumbishwa kirahisi.
  Haijapita hata wiki, tangu Kova atoe ripoti yenye utata, watanzania tayari wako bize kuongelea ishu ya ajali na kuacha kujadili ripoti yenye utata.

  Kova sasa ameanza kunawiri na anaombea tena ishu nyingine itokee, ili ripoti ipotezewe jumla.
   
 2. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni kawaida ya watanzania hyo! Na hii inawapa kichwa baadhi ya watu wanaofanya madudu kujiamini na kufikia kusema ''huu ni upepo tu'' wakijua kwamba baada ya wiki mbili au tatu. Maisha kama kawaida.
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  mimi nilidhani ni wapemba na waunguja tu ndo wanazungumzia habari ya ajali ya chombo. Huku kwetu bado tunaajonzi ya kufiliwa na kada wa chama chetu.
   
 4. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Mtanzania mpe pombe asahau shida zake!
   
 5. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,694
  Likes Received: 2,378
  Trophy Points: 280
  Nani kasema tumesahau? au kwa sababu huoni muendelezo jamvini? we subiri uone watu tunavyorekebisha macho ya gamutu polepoole!
   
 6. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kaka jambaz hebu ndio fanya umekua mhariri wa gazeti la JF na hii thread yako kweli leo ingeuza?let me tel u one thing.ni hivi hatuwezi kusukuma nchi mbele kwa kuganda ktk point moja.then we unadhan suala la kuzama kwa meli na kutekwa kwa ulimboka wapi kuna afadhali.acha roho mbaya kaka mkuu.mi nadhan km meli ingezama na bila kuuwa watu poa ila watu wamepoteza maisha tena gafla,wakati ulimboka alitekwa na kaumiza ila pia anaendelea vizuri kwa mujibu wa taarifa tupatazo.mi nadhan hapa ni uzito wa ishu ndio uliofanya moja lishike kasi. GREAT THINKER thinks GREATLY
   
 7. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,795
  Likes Received: 4,155
  Trophy Points: 280
  Hatujasahau, kwanza tumalize ishu ya msiba then tunamrudia kova hasa yule jamaa atakapopandishwa kizibani labda huyo kamanda azue ishu nyngne maana polisi wetu na viongozi wa nchi ni wabunifu sana wa kutengeneza matukio.
   
Loading...