Serikali imetoa agizo leo la kusimamisha withdraw kwa wanachama wote wa hifadhi za jamii

mahololelo

Member
Oct 11, 2011
32
5
Leo meneja wa NSSF mkoa wa mara akiwa pamoja na HR meneja wa BARRICK NORTH MARA wamewatangazia wafanyakazi kwamba serikali imetoa TAMKO leo kwamba wanachama wote wa mifuko ya hifadhi ya jamii hawataruhusiwa kutoa michango yao mara baada ya kuacha au kufukuzwa kazi,kuanzia leo, MWENYE TAARIFA KAMILI KUHUSU TAMKO HILI ATUJUZE
 
:A S 465:Sera na sheria hazitangazwi na Meneja wa Tawi moja la Hifadhi ya Jamii. Wasemaji wa NSSF au SSRA wako wapi ili watoe tamko Hilo rasmi na taratibu za utekelezaji wake pasipo kuleta mtafaruku kwa wanachama wa hiyo mifuko!
 
Back
Top Bottom