Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu wana jf poleni na shughuli za kujenga Taifa.Mimi binafsi najaribu kuangalia rasilimali za nchi tulizonazo hapa nchini. Tunaishia kukaa kwenye STOOL ya DHAHABU huku tukiwa SAIDIA baba,SAIDIA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nilikuwa kwenye gari (Public Dala2) nikitokea Mlndz kuja Dar, jamaa walipata watu nyomi kwenye mutuka yao, mara jamma aliyekuwa anakuja toka tulikokuwa tunaenda akampa ishara Suka wetu kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa habari zilizofika punde chumba cha habari TBC1, ndege hiyo imepasuka matairi matatu, mawili kulia, nyuma na moja kushoto, nyuma wakati inatua ikitokea Mwanza.
0 Reactions
32 Replies
5K Views
MAONI YA KUSINI PEMBA (updates)Written by Ahmed Omar Khamis // 25/07/2012 // Habari // 3 Comments S/N TAREHE SHEHIA SER 1 SER2 SER3 MKATABA WAPUMUE WASOFAHAMIKA 1 17/7 Chachani/...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dear Prospective Partners, USADF Tanzania wishes to inform you of the possible recruitment of Partner Organization. Please review the attached doc and respond as soon as you can. Any further...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
ukitokea ubungo kuelekea Mwenge pale baada ya TCRA,kuna por ambalo kwa muda mrefu halijaendelezwa.najiuliza hlo por ni mal ya nani? Au ni open space? Aksanten kwa msaada
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The recent amendment to social security statutes is by far the worst legislative amendment ever. It beats all logic that a country with life expectancy at birth of 51 years should set age at which...
0 Reactions
2 Replies
992 Views
:help::help:Wananchi wa eneo la Kwembe - Kibamba wanavunjiwa nyumba zao wakitakiwa kuhama ili kupisha mradi wa Muhimbili, taarifa nilizo nazo ni kuwa wananchi hawa wana kesi inayoendelea wakitaka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HUKU kesi ya kushukiwa kuhusika na mauaji ya marehemu Steven Kanumba ikiendelea kumkabili nyota wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, bibi yake na msanii huyo alitinga kortini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu Cha Usimamizi wa Fedha, (IFM) jijini Dar es Salaam, Agnes B. King’unza (pichani), amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuokotwa akiwa hajitambui...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Jmani Tuwachambue wasomaji magazeti wa RFA JAMANI Mnawaonaje? kwakuwa kipindi supa cha MAGAZETI NI RFA
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumbe Lusinde sio kichaa kama anavyodai bali ni kuwa kichwani mwake hakuna kitu. Elimu yake ni darasa la saba (STD 7) tena ya kufeli. Anachojua ni kusoma na kuandika, basi, hana ujuzi mwingine...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
nikiwa kama mfanyakaz,kwa miaka mitatu sasa nimechangia NSSF.Kutokana na sheria hii mpya nafikiria kujitoa,naomba mnpijuze ntatoka vp?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu ni mtoto RUKIA AMBAYE AMEUNGUA KWA MAJI YA MOTO Ndugu zangu kwa heshima kubwa na upendo, naomba msaada wenu wa hali na mali kumchangia mtoto Rukia ambaye ameungua vibaya mwilini kwa maji ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
leo asubuhi katika kikao CHA Bunge mwenyekiti wa kikao mh. Jenista Mhagama wakati akihitimisha kipindi CHA maswali na majibu, alisoma tangazo lililokuwa linahimiza matumizi ya bidhaa za Azam...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Unajua kuna ule ushabiki ambao ukiiufwata mwisho unaingia kaburini na dhambi zako huu ndio tusioupenda na hivi sasa ni wakati muafaka wa kuulani na kuukataa wapendwa\ tusirudi tena zama za mrema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninasikitishwa na hali ya wagonjwa pale katika hospital ya Muhimbili...kwajinsi wanavyoteseka.....ila hapa nashindwa kujua ninani wakumlaumu kati ya serikali na Madaktari!! Daktari anadai...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF. Jamani nafikiria kununua guta. Hivyo kwa yeyote anayefahamu range za bei zake please naomba mnitaarifu. Pia mkinisaidia kufahamu taarifa zozote muhimu kuhusu GUTA itakuwa ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SIKU chache baada ya serikali kutangaza kusitishwa kwa zoezi la uopoaji wa miili katika meli ya Skagit iliyozama karibu na Kisiwa cha Chumbe, baadhi ya wananchi wamerusha lawama kwa Mamlaka ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
(Kusomwa Mara ya Pili) MWENYEKITI: Ahsante Katibu, sasa naomba nimwite mtoa hoja wa Muswada huu, aweze kutupa maelezo; Mheshimiwa Waziri karibu. WAZIRI WA KAZI NA AJIRA: Mheshimiwa Mwenyekiti...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…