Naumizwa na jambo hili....ila sina lakufanya!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naumizwa na jambo hili....ila sina lakufanya!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Jul 24, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Ninasikitishwa na hali ya wagonjwa pale katika hospital ya Muhimbili...kwajinsi wanavyoteseka.....ila hapa nashindwa kujua ninani wakumlaumu kati ya serikali na Madaktari!!
  Daktari anadai chake,Mgonjwa naye ana haki yake yakupatiwa matibabu kutoka kwa dakitari!...Serikali inasema inalishughulikia tatizo la madakitari..Jamani...simwoni wakumlaumu hapa...Lakini yote haya yanaweza kusuluhishwa kwenye meza ya majadiliano!!fanyeni linalowezekana hili tunisuru maisha ya wagonjwa walioko hospitalini...!!Mpaka hivi sasa maisha watoto wadogo wasiopungua mia yameishapotea kwakukosa huduma za matibabu!!
   
 2. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  LIWALO na LIWE......!!!!!!!!

  UPEPO HUO tu UTAPITA..........!!!!  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 3. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Je mgomo wa madaktari bado unaendelea?
  Je vyombo vya habari vinauadaa kwa kutuambia huduma zipo kama kawaida? Tumwamini nani?
   
 4. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  KakaKiiza avatar yako inaelezea kila kitu.
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Ndiyo maana sioni ninani wa kumwambia matatizo haya baada ya kugundua kote...kumepwaya!!
   
 6. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  mkuu ukitaka kuongelea MNH nenda pale kwenye wodi ya MOI walikolazwa watoto wenye vichwa vikubwa utalia machzi wala kazini hutoenda tena. wala hutokula kimsingi CCM SERIKALI YANGU PENDWA MNAUA WATANZANIA. Hivi kweli ya Mungu kuna mtu anaweza kutuambia anahuruma na watanzania? jamani wagonjwa wako wamelaa hadi kwenye kordo bila hata daktari kuwaona halafu eti tumeboresha sekta ya afya?/// hapa aisee e zomba hebu njoo tuambie kweli serokali hii ya kikwete inahuruma na sisi kweli mbona sisi bado tunaiamini lakini yenyewe haijiaminishi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...