Mkurugenzi wa tanescohapa ulichemsha kabisaaa wacha wakusulubu ujinga huu usirudie tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi wa tanescohapa ulichemsha kabisaaa wacha wakusulubu ujinga huu usirudie tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Jul 25, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,110
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Unajua kuna ule ushabiki ambao ukiiufwata mwisho unaingia kaburini na dhambi zako
  huu ndio tusioupenda na hivi sasa ni wakati muafaka wa kuulani na kuukataa wapendwa\
  tusirudi tena zama za mrema watu wanavua nguo barabarani wake zetu wanakesha kwenye
  mikutano wakirudi hata unyumba awawezi tena ....

  Lile sakata la kusimamishwa mkurugenzi wa tanesco w. Mhando nimelisoma leo vizuri
  kwenye raimwema kwa kwel i ni ujinga na upuuuzi binafsi nisingependa kuona hiki kichwa
  kikirudi tena kwa sababu kadhaaa
  1..wakati anaingia aliingia kwa mbwembwe na kusema ujinga na wizi autokuwepo tena
  2..akalaani yale mambo ya wakurugenzi kujilimbikizia mali kwa mgongo wa kampuni na kusema uongozi wake utahakikisha wanaokuwepo wako imara

  nisiende na ahadi zake nyingi za kihuni alizosema nibaki na hii ya pili ambayo ukisoma kwenye raiamwema la leo linasema"""mhando amtetea mkewe na dili la million 840 tanesco
  mh huyu akiwa kama mkurugenzi inashangaza kumhusisha mkewe na tenda ya tanesco kwa kupitia kampuni yake na mkewe ambapo inaonyesha wakati wakiwa kwenye mchakato wa tenda kabla ya kushinda akajitoa kwenye uongozi na kuwaingiza wanawawe watatu kama wakurugenzi wasaidizi
  watanzania siku nasikia hhili la kuondoka nililaani sana sana sanaa kwa kweli inaumiza
  sasa katika kujitetea ili na makampuni ya magazeti yaendelee kuwepo nakushauri ununue gazeti la raiamwema iliwafanyakazi wapate mshahara ..nimekudodosa kidogo kuna mengi yanakuja .....esp la mwenyekiti wa bodi kununua mafuta sehemu na kuuzia tanesco

  2...kuna wengi wanalaani kitendo cha mh sana wa wizara kumwondoa mhando lakini ndugu zangu mkisoma hili gazeti mtajua duniani akuna wema ...wote ni wezi na wadhalimu ..kama sio wahauni
  nasema hivi kuna mgogoro unaendele soma gazeti linahusu mafuta ya tanesco katibu wa wizara amevunja mikataba ya wahuni na kuipa kampuni ya puma ambayo kumbe ilishindanishwa ikiwa na mafuta mazuri na bei ya chini wahuni kadhaa wkaishirikiana na mhando wakagawana katenda na kampuni zao feki ...then wanachofanya na kilichoibuliwa na katibu huyu nikuona kumbe wananunua mafuta kwa puma ambayo hiyo hiyo ilishindwa tenda then wanaiuzia tanesco..wakajiuliza kama hivyo kwa nini wasiende puma moja kwa moja..kilichofanyika ni kuidhinisha puma kumwaga mafuta tanesco na watu wanalia na kusaga hivi sasaa

  mungu tusamehe mungu uturehemu

  kila la kheri eng mhando
   
Loading...