Kwembe: Wananchi wanavunjiwa nyumba zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwembe: Wananchi wanavunjiwa nyumba zao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mokoyo, Jul 24, 2012.

 1. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,822
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  :help::help:Wananchi wa eneo la Kwembe - Kibamba wanavunjiwa nyumba zao wakitakiwa kuhama ili kupisha mradi wa Muhimbili, taarifa nilizo nazo ni kuwa wananchi hawa wana kesi inayoendelea wakitaka taratibu zifuatwe katika kuhamishwa kwao ikiwa ni pamoja na kulipwa fidia halali na ya wakati. :A S-confused1::A S-cry:
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Wakiulizwa watasema "Kesi ipo mahakamani, hatutakiwi kulijadli hili'.

  Nimeanza kuelewa kwa nini kuna watu wanajilipua ili waondoke na mtu! Siku nikikutana na m.k.were sijui...!
   
 3. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Sasa kama kesi ipo mahakamani kwa nini wanatekeleza uvunjaji?????


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 4. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hao ving'ang'anizi. Waache wavunjiwe tu. Wenzao walishaondoka muda mrefu sana.
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,822
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  wa Kigamboni nao waanze kutia maji
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  nchi ishauzwa hii na walioinunua bado wanitawala tena kifamilia!
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,096
  Likes Received: 7,340
  Trophy Points: 280
  Kisha wafuate wa Lumumba!!
  2015 sio mbali!!
   
 8. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  Hiyo muhimbili iliyopo inawashinda bado wanataka kuanzisha nyingine UFiSADI at work!!
   
Loading...