Mtoto anaomba msaada wako haraka

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
rukia.jpg
Huyu ni mtoto RUKIA AMBAYE AMEUNGUA KWA MAJI YA MOTO

Ndugu zangu kwa heshima kubwa na upendo, naomba msaada wenu wa hali na mali kumchangia mtoto Rukia ambaye ameungua vibaya mwilini kwa maji ya moto, na kwa bahari mbaya wazazi wake hawana uwezo wa kugharimia matibabu. Waweza kutumia mchango wako kupitia kwangu kwa namba 0756-219342, au 0713235593 (Charles Misango- Mhariri Tanzania Daima) nami nitaziwasilisha kwa wazazi wake ili waweze kusaidia kumkimbiza Muhimbili kwa matibabu mazito. ASANTE KWA WOTE MLIO TAYARI. TUJITOE KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYU


Mtoto huyo na wazazi wake wanaishi wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi. Leo Juni 4, kwa fedha chache zilizopatikana, mtoto amepelekwa zahanati ya kijiji cha jirani kupata matibabu madogo chini ya usimamizi wa msamalia mwema.

Source: charles misango
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom