Nataka kununua guta:Kwa wenye ufahamu na hilo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kununua guta:Kwa wenye ufahamu na hilo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ijoz, Jul 25, 2012.

 1. ijoz

  ijoz JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 671
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 80
  Habari wana JF.
  Jamani nafikiria kununua guta. Hivyo kwa yeyote anayefahamu range za bei zake please naomba mnitaarifu. Pia mkinisaidia kufahamu taarifa zozote muhimu kuhusu GUTA itakuwa ni msaada sana kwangu.
  Nikifanikiwa lengo langu biashara niifanyie Dar.
  Natanguliza shukrani kwa wachangiaji HASA WENYE CONSTRUCTIVE IDEAS.
   
 2. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,080
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  nenda pale manzese mahakama ya ndizi utakutana na wenzako wanaoendesha hayo maguta watakupa ushauri unaokufaa,
   
Loading...