Lusinde Ajiandikishe Form One Kufuta Ujinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lusinde Ajiandikishe Form One Kufuta Ujinga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Goodrich, Apr 3, 2012.

 1. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Kumbe Lusinde sio kichaa kama anavyodai bali ni kuwa kichwani mwake hakuna kitu.
  Elimu yake ni darasa la saba (STD 7) tena ya kufeli.
  Anachojua ni kusoma na kuandika, basi, hana ujuzi mwingine.
  Hali hiyo ndiyo imempelekea kujitangaza kama kichaa wa kuzaliwa na kujaribu ujuzi wa matusi.
  Binafsi namshauri kuwa, ni aibu kubwa kwa kijana Mbunge, Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM kuwa kilaza.
  Namshauri ajiandikishe masomo ya Form One. Japokuwa atakuwa na watoto lakini itamsaidia kugundua ujinga wake !!!

   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Taarifa za karibu na za uhakika hata kusoma hajui,hili niliambiwa na jamaa yake wa karibu.Taaruma yake isiyo ya kusomea ni DJ.Tafitini mtabaini ukweli huo
   
 3. M

  MaxMase JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 60
  Akasome nini wakati ana PhD ya matusi. Labda kama kuna sekondari inafundisha matusi ndo aende huko.
   
 4. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,850
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Hili Mkuu Mbona Halihitaji Utafiti? Fikiria Alianza Darasa la Kwanza 1980, alitakiwa amalize 1986 kwa madarasa saba!! Sasa Yeye amemaliza 1987, Hivyo ni miaka nane (8) Mwaka mmoja amekariri!! Ila kwa kuwa ni primari education Hawakuona umuhimu wa kumlazimisha aendelee kukariri Hivyo akamaliza akiwa Hajui Kusoma wala Kuandika!! Hivyo wazazi wake wakaona Hakuna faida ya Kumpeleka secondari mtoto asiyejua Kusoma na kuandika!! Yeye akajichagulia Kuwa DJ!!
   
 5. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hahahhahahahaahhahahhahahahahhaha inabidi aanze thekethea
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  eti huyu naye analamba milioni 7 kwa mwezi!
   
 7. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  pambafuuu sana, duuuh ccm bwana. wabunge wao walio wengi level yao ni hiyo, mfano yule mganga wa kienyeji( maji marefu) kisha watu kama hawa utegemee watawaongoza kuelekea ktk mafanikio...?
   
 8. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Akafanye QT teheteeee baadae OPEN.Nakuakikisha baada ya mwaka huu ataitwa DR.LUSINDE...
   
 9. T

  Tejai Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tuache majung tafuteni cv yake muiweke hewani tumsome,ana kitu gani kichwani cha maana kielim,isije ikawa ni wale kilaza waliokuwa wanaogopa umande,enzi hizo
   
 10. m

  makumvi Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  NImeisikiliza ile clip kupitia You Tube, kweli ni dhahiri kuwa ccm walikosea kumpa majukumu mtu kama yule, haiwekzani mtu mwenye upeo mzuri kuongea utumbo kama ule, eti wananchi wanashangiria na kumvimbisha kichwa aendelee kuropoka, jamaa hana upeo wa siasa hata kidogo sijui alipataje nafasi ya kuwa mbunge huko jimboni kwake. ni wazi kuwa ccm hawana sera za kuwaeleza wananchi. Ningekuwa kiongozi wa ccm hahika ningemuwajibisha maana amekidharirisha chama. bora arudi shule akaelimishwe kwanza :crying:
   
 11. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Tusimshangae Lusinde tuwashangae waliompigia kura huko Mtera, hii ni aibu sana kwao wanawezaje kukubali kuwakilikshwa na mtu wa namna hii? Hapa ninazidi kujiridhisha kwamba kama kuna Mtanzania yeyote anayeshabikia CCM kwa sasa lazima awe aidha kichaa au ana maslahi binafsi, na hii ya maslahi binafsi wala sio excuse (NOTE).

  Nawashangaa sana wale waliokuwa wakishangilia wakati Lusinde akiporomosha matusi hadharani, hawa nia waarumeru au mamluki kutoka sehemu zingine? AIBU KUBWA SANA KWA CCM hasa kwa kutomchukulia hatua yoyote.
   
 12. A

  Alexander Abel New Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anachokifanya Lusinde ni upumbavu wa hali ya juu.. na hata viongozi wake ni wapumbavu.. Huwezi kutoa sera za matusi na wananchi wakuchekee,, kwa haraka utagundua wale woote waliokuwa wakimshangilia Lusinde ni watoto na akili zao pia hazina mtazamo wala fikra ya kudadavua au kung'amua jema au baya..
   
 13. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wananchi wa jimbo lake watakuwa wanajuta sana tu.
   
 14. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  sorry nilikuwa nje ya mtandao ndo nimerudi kutokana na majukumu naomba kujua alitoa matusi gani?
   
 15. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Takataka kabisa hyo!
   
 16. s

  sijiwezi Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona cv yake ilishaatupwa hapa jamvini muda tu wewe tu ndo ujaiona
   
 17. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Sijajibiwa swali wana jf!
   
 18. n

  nndondo JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Lusinde ndio kiashiria cha dira ya wale ambao leo hii tumewapa dhamana ya kukiongoza chama kilichoasisiwa na watanzania waliokua na dira na shauku na uzalendo mkubwa na nchi hii. Unashangaaje nchi kuwa ya kishenzi, iwapo viongozi wake ndio hao waliokua wamekaa jukwaani wakisubiri lusinde amalize kusema lugha na maneno yanayofanana na wao kabla hawajamshangilia na kumpa mkono wakati wanapanda jukwaani maana wa kwao Lusinde kawatayarishia njia. Tuliambiwa tukicheka na mbwa tutaingia nao msikitini, tumewachekea walipowaita watanzania wenzetu vikokoto, tukacheka walipomuita padri malaya, tukacheka tena waliposema watawashikisha wenzetu wanaume wazima ukuta, sasa tunashangaa nini wakisema wanaume wote walioko magerezani tena wangi wao wakiteseka pasipo hatia ni wanawake, wameolewa na wanaume wenzao, tunawacheke wanaopowatukana mama zetu, dada zetu, mabinti zetu, tuliwachekea walipoenda Igunga na kuwalala wake zetu, bado tukawapa kura, sasa tunashangaa nini wanapotufundishia watoto misingi ya maisha yao kule mashimoni, watoto wetu na vizazi vyetu? na pale ambapo hata chama chao kimebariki maana kwao hizo ndio siasa, tunapo reduce ubunge kuwa nafasi za walinda maslahi ya wachache pasipo kujali kwa garama gani, ndio maana leo tuna wakina Ester Bulaya, wakina Dokii, wakina Maji marefu wanaosema chadema wapandishe GDP mwanza, (what a fool), na Mkapa anayesema ili uwe kiongozi mzuri lazima uzaliwa ndani ya ndoa ndio maana vincent Nyerere hafai, lakini anasahau kuwa yeye mzao wa ndoa, tena ya katoliki ni mwizi mkubwa zaidi ya wale wa Ali baba, ameiba nyumba zetu, migodo yetu amejaa uroho usio na kinga na mungu amemlaana sasa amegeuka a laughing stock, kinachofuata watanzania popote mlipo, walipa kodi wote tumvue kodi zetu akalipwe na CCM, mbona mwenzake Mwinyi katulia, yeye anawashwa na nini? anataka atiwe nini ili anyamaze
   
 19. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Akafute ujinga. Tatizo lake ni ujinga !
   
 20. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280

  Nenda kwenye google, andika neno Lusinde, utaelewa kinachoongelewa.
   
Loading...