Je hili ni sahihi kufanywa na bunge letu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hili ni sahihi kufanywa na bunge letu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pukudu, Jul 25, 2012.

 1. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  leo asubuhi katika kikao CHA Bunge mwenyekiti wa kikao mh. Jenista Mhagama wakati akihitimisha kipindi CHA maswali na majibu, alisoma tangazo lililokuwa linahimiza matumizi ya bidhaa za Azam, ingawa mwishoni alihusianisha na mambo ya Mpira I.e mechi ya Jana.
  Je ni sahihi kwa bunge kuhimiza matumizi ya bidhaa za kampuni Fulani?
  Je Azam atakuwa hajakiuka Sheria za ushindani? Kwa kutumia muhimili wa Dola kutangaza bidhaa zake?
  Je washindani wa Azam hawawezi kudai fidia? Au na wengine watumie mahakama au serikali kutangaza bidhaa zao?


   
Loading...