VP MAGAZEI RFA KILA SIKU? Ndugu wadau tuwachambue wasomaji wetu mnawaonaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VP MAGAZEI RFA KILA SIKU? Ndugu wadau tuwachambue wasomaji wetu mnawaonaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gubuntu, Jul 25, 2012.

 1. G

  Gubuntu Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jmani Tuwachambue wasomaji magazeti wa RFA JAMANI Mnawaonaje? kwakuwa kipindi supa cha MAGAZETI NI RFA
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe unawaonaje?

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 3. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  mtoa mada hata anagalau ungeanza na some clues ila hivyo tu jinsi ulivyoacha topic inaning'inia so ngumu kuchangia au simply hoja yako haina msingi.
   
 4. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mh, ndugu yangu!
  Wakati watu wanaumwa vichwa na mambo kama sheria mpya mifuko ya hifadhi ya jamaii, ufisadi TANESCO, mfumuko wa bei na kupanda kwa gharama ya maisha, maafa ya ajali ya meli Z'bar, upuzi unaofanywa pale bungeni na hoja nyingine nyingi zinazohitaji Great Thinking, wewe unatuletea topic kama hii. Sasa unataka tuchangie nini ndugu yangu?!

  Kwani kama wanakukera, si kuna radio stations kibao zinazochambua magazeti kila siku, kwa nini usisikilize kwingine? Au kama vipi si upite tu kwenye vibanda vya magazeti vipo vingi tu mtaani utajichagulia mwenyewe.

  Inasikitisha sana. Post no.1 kitu cha maana zaidi ulichoona ni kujadili issue hii. Aisee, kazi ipo kwa kweli.
   
Loading...