JE, umewahi kujiuliza Jeshi la Polisi haliaminiki kiasi gani na kwa nini?
Je, unajua kwamba hata mawaziri wa serikali hii ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawana imani na Jeshi la Polisi?Hebu...
Habarini, nilikuwa busy na masomo lakini toka Juzi nimekuwa
nikipokea sms kadhaa zikinipa taarifa juu ya mabomu yanayoendelea
kulipuliwa Tandahimba tena safari hii inaonekana vurugu hizo zimehamia...
Hakuna ubishi kwamba katika mataifa yaliyoendelea wasanii wanaishi maisha ya kifahari kwa sababu ya mapato halali yanayotokana na kazi zao. Kila kazi ya msanii katika mataifa yaliyopiga hatua ina...
Kuna hili suala la mikopo kwa wanafunzi,inashangaza sana wanafunzi wanafanya field kwa hali ngumu mfano SAUT Mwanza,xaxa inakuwaje vyuo vingine vinapewa allowance halafu vingine...
huwa kuna utamu wake katk
kujibu
Utasikia...
RAFIKI: aisee kabila lenu mna
akili sana RUGAIMUKAMU: ofukoz, kwani
hukumbuki kipindi kire tukiwa
wingereza na akina blackberry
rweyemamu, iPod...
Wankyo Mwikwabe akiwa na mume wake Mwikabe Mwita Magesa.
WAILALAMIKIA SERIKALI KUZUIA UKEKETAJI,WADAI KAZI ILISAIDIA KUSOMESHA WATOTOAnthony Mayunga
MKOA wa Mara ni miongoni mwa mikoa nchini...
Siku moja nikiwa ndo kwanza nimetoka kazini, nilipofika nyumbani sikumkuta mke wangu wala watoto wangu. Lakini chini ya mti wa mchungwa kulikuwa na beseni ambalo ndani yake palikuwa pamejaa maji...
Nguzo mbili nililipa milioni mbili na laki saba tena kijijini nikafungiwa umeme baada ya miezi sita.juzi waziri mpya katangaza bei halali ya nguzo,sasa swali langu ni je,serikali inalichukuliaje...
MSAMIATI wa neno "ufisadi" umeanza kuwa maarufu hapa nchini katika miaka ya karibuni ukiwa na maana ya watu ama viongozi wanaojinufaisha kwa mali za umma. Katika miaka iliyopita neno mbadala...
HABARI kuhusu uteuzi wa dkt. Wilbard Lorry aliyeteuliwa kuwa mshauri wa Rais masuala ya lishe kama ilivyo tolewa kupitia mtandao wa jamii forum tarehe 19/7/2012 ni PROPAGANDA zinazofanywa na...
Suzane ndo kakamata mic kwa sasa, anasema pesa zinazotolewa na serekali kuu kwa ajili ya maendeleo ya mikoa, mkoa wa morogoro ndo unapata mgao mdogo wakati unachukua 8% ya ardhi yote ya tz. Data...
Biggest wars
''I do not know what the third world war will be fought whith,but fourth world war will be fought with sticks and stones'' said Albert Einstein.war is not heatthy for children and...
Ndugu zangu,
Waziri Muhongo ameusema ukweli wake kule Dodoma. Nami nimefuatilia sinema hii ya Dodoma, kila inavyoendelea ndivyo ninavyozidi kuchoka. Ama hakika, tunakokwenda siko, tuna...
Ilikuwa wiki moja ya ajabu kidogo.
Na hii ndiyo maoni yangu!
JK:nod:
Mama Makinda:poa
Prof Muhongo:poa
Zitto:A S 112:
Eng Muhamdo:A S 112::nono:
NSSF,PSPF:A S thumbs_down...
Nimeiona hii kule BBCSWAHILi kuwa serikali sasa imetoa baraka kwa sumatra kufanya ukaguzi wa vyombo vya usafiri kule zanzibar na tayari meli tatu zimekwisha simamishwa kutokana na kutokuwa na...