Hi, I am new to jamii forums. I thought it is a great place to share what has been disturbing me for long. Whether it is only in Tanzania or else where in the world, Tanzania has this annoying...
Naamini JF inasomeka sehemu nyingi, naamini pia kuwa kuna wasomaji watanifikishia hii kwa Tigo. Toka tarehe 18 Julai nimetoa pesa kwa wakala akasema eti nimekosea namba. Kila nikipiga simu...
KUNA TAARIFA ZA KUAMINIKA KUTOKA VYANZO MBALIMBALI KUWA SERIKALI IMEWAONDOA WAALIMU KATIKA USIMAMIZI WA SHUGHULI ZA SENSA;
kUTOKANA NA HABARI HIZI BAADHI YA WAALIMU WAMEAMUA KUONGOZA MGOMO WA...
Inapofikia hatua watu wana njaa wanadai haki yao kwa sababu hawana mahitaji ya msingi lakini ikaonekana baadhi ya viongozi ndani ya serikali na watumishi wa umma wanajilimbikizia fungu kubwa la...
Wakati najaza fomu ya kuniwezesha kuja kupata Kitambulisho cha Uraia, niliona Watu wawili wakija pale bila ya kuwa na Viambatanisho vilivyoorodheshwa kwenye fomu, lakini wakiwa na barua za...
KITENDO CHA KUGAWA NG'OMBE WAKATI WA MGOMO WA WALIMU,ILIMAANISHA KUWA WALIMU WALIKUWA WANATAKA KUWADHULUMU WAMASAI KWA KUDAI PESA AMBAZO ZIMETUMIKA KUFIDIA NG'OMBE WALIOKUFA KWA UKAME mwaka...
Akizungumzia kucheleweswa kwa majina ya watakao husika na sensa,Mwakilishi wa mkuu wa wilaya ya mbozi amesema wanachambua majina ya walimu walio goma ili waondolewe katika zoezi hilo.Nawasilisha...
Kwa mujibu wa kanuni za bunge SEHEMU YA SABA ( UHALALI WA SHUGHULI) ibara ya 77 ya kanuni ina sema Akidi ya vikao vya Bunge
77.-(1) Akidi kwa kila kikao cha Bunge wakati wa kufanya maamuzi
itakuwa...
Narejea hotuba ya Mhesh. Rais J. Kikwete kwenye shughuli za Precision Air juz juz kuwa mashirika ya ndege yazingatie sheria. Tarehe 1 August 2012 nilipanda ndege TATU tofauti za Precision Air...
Wakuu nimepewa ORDER na bosi wa School kuandaa paper na kuipresent tarehe 10/8/2012 mbele ya senate ya Chuo. issue ni matatizo wanayopata na wanayosababisha wanafunzi wakati wa field.
Nakumbuka...
Jamani hivi hawa wanajeshi, polisi na idara ya usalama wa taifa ni lini madai yao ya mishahara hayatalipika? Au ya kwao yanalipika? Au ni yale maduka ya furniture bei cheee, electronics bei chee...
Mgomo wa walimu ulitakiwa uungwe mkono na wazazi walalahoi kwani wangetakiwa kuingia barabarani na kuishin ikiza serikali kwan ikiwa serikali haita wajali walimu watoto wao ndio wanaoathilika na...
Kwa utafiti mdogo nilio ufanya kwa rafiki zangu na timeline za wanajeshi takribani 20 wakubwa ninaowajua nimekuta wakiizodoa serikali pasipo kificho. Nadhani Facebook inatupa nguvu wananchi kujua...