Tumejifunza nini kutoka bungeni dodoma kwa wale tuliowachagua kutuwakilisha?

Think

Member
Jul 27, 2012
71
1
nimevutiwa sana na baadhi ya wabunge waliosimama kidete kwa maslahi ya taifa letu. mfano; mh lugola, zitto, mnyika, filipnjombe, mdee, machali
 
Chagua wabunge wa UPINZANI na pale itakapo lazimika kuchagua mbunge wa CCM basi lazima awe KIJANA!
 
...Asilimia kubwa ya Wabunge wa magamba wanajali maslahi yao tu na si ya Tanzania na Watanzania.
 
Wabunge

1. 50% ya wote wa ccm wanapiga kelele za kutetea chama chao ccm, ufisadi wa chama chao, rais kikwete na kwa maslahi yao binafsi.

Mfano mpaka leo wanaishi bungen na ndani ya chama ccm na mafisadi mfano chenge. Walipigia debe sheria kandamizi ya mafao yetu na kuipitisha kwa kusema ndiyoooo. Kushiriki kuwahadaa wananchi wanapochangia kwa kusema serikali amewajali wananchi na inchi imepiga hatua kubwa ya maendeleo wakati sikweli.
2. 40% ya wote ccm watoro na huingia bungen kupiga kura ya ndiyooo ilhali hawajui chochote.

3. 5% ya wa ccm huingia na kukaa kimya wakisubili kusema ndiyooo

4. 5% ya wa ccm niwazalendo mfano Filikunjombe hujitahidi sana kupambana kwa kuutaka ukweli lakini hubwana sana nawale 50% watetea maovu.

Wabunge wa upinzan kwa takriban 95% ya ujumla wao ni makin kwelikweli wanapanga hoja na kuitaka kweli.

5% ya wapinzan wababaishaji, wabinafsi na matapeli wa siasa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom