Dr. Ulimboka anaendeleaje?

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Jaman kwa yeyote mwenye taarifa zoote sahihi kuhusu maendeleo ya faya ya dr ulimboka ni vema na haki akatupatia wanajamvi wenzie.
 
Anaendelea vizuri, anaongea, anakula na anaweza kufanya mazoezi mepesi kama vile kutembea, kukaa. Bado yuko chini ya uangaliyi wa karibu wa madaktari hasa juu ya ufanyaji kazi wa internal organs zake, hass figo. Itamchikua muda kidogo kwa madaktari kujiridhisa kama figo zimetengemaa.

Aah Nilisahau; anakusalimia sana (ametoa salamu kwa wote wanaomuombea kwa Mungu apone haraka na kuja kulijenga taifa lake, naamini na wewe ni mmoja wapo.)
 
Sijui anaendeleaje? Lakini watu wa Mungu tunaendelea kumuombea, apone haraka ili aje kuwaumbua wapambe nuksi
 
Anaendelea vizuri, anaongea, anakula na anaweza kufanya mazoezi mepesi kama vile kutembea, kukaa. Bado yuko chini ya uangaliyi wa karibu wa madaktari hasa juu ya ufanyaji kazi wa internal organs zake, hass figo. Itamchikua muda kidogo kwa madaktari kujiridhisa kama figo zimetengemaa.

Aah Nilisahau; anakusalimia sana (ametoa salamu kwa wote wanaomuombea kwa Mungu apone haraka na kuja kulijenga taifa lake, naamini na wewe ni mmoja wapo.)

Watu kama hao ni hatari sana kwa watu wenye tabia ya kidhalimu! Wakiwa wa4 tu Tz, mmoja kas, mwingine kus mwingine mash na mwingine magharibi, watu wenye tabia kama ya kova, nape, nchemba, s.Manyanya, wasira, ndugai, shibuda etc wangebadilisha tabia au watafute nchi yao.
 
Gazeti la shigongo lilisema "Dr ulimboka si waleo wala wakesho,tumepata report yake kutoka Afrika kusini"
 
mungu atasimama upande wake coz nimwanaharakati boro so atapona haraka coz bado tunamuhtaji.
 
Back
Top Bottom