Chanzao cha Ugomvi wa Walimu, Doctors, Wananchi na Serikali ya Kikwete hiki hapa..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanzao cha Ugomvi wa Walimu, Doctors, Wananchi na Serikali ya Kikwete hiki hapa.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ta Muganyizi, Aug 3, 2012.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Inapofikia hatua watu wana njaa wanadai haki yao kwa sababu hawana mahitaji ya msingi lakini ikaonekana baadhi ya viongozi ndani ya serikali na watumishi wa umma wanajilimbikizia fungu kubwa la keki ya taifa wakati wengine wanataabika. Picha hii hapa chini inaonesha kinachotendwa na serikali ya CCM na serikali yake.

  [​IMG]

  Tafakari sana hiii.........ugomvi hauwezi kuisha kama baadhi yetu wana share kubwa namna hiiiiiiii...
   

  Attached Files:

 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Pia usisahao kuangalia mshikio wa panga.......
   
 3. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Polisi ni uhalifu kula kwa panga?
   
 4. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Uroho na kutojali kama unaowaongoza wana njaa ni mbaya
   
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Ta Muganyizi hii chakula ya watu wangapi? Ni hao kwenye picha tu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Ni ya watu wawili waliokaa hapo wengine ni watazamaji
   
 7. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mhe Waziri Mkuu alisema mwenyewe suala la posho za wabunge ni lazima. Akadai gharama za vitu zimepanda na suala hili liko mezani kwake. Tangu hapo wafanyakazi wakajua serkali inatambua kupanda kwa gharama za maisha. Na fedha ya kuwaongezea ipo. wao hawakujua kuwa iliyopo ni wabunge peke yao!!!
   
 8. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kosa kubwa sana hiloo
   
Loading...