Wabunge hawa tutendei haki watanzania tuulio wachagua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge hawa tutendei haki watanzania tuulio wachagua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mussamutagaiwa, Aug 4, 2012.

 1. m

  mussamutagaiwa Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kwa mujibu wa kanuni za bunge SEHEMU YA SABA ( UHALALI WA SHUGHULI) ibara ya 77 ya kanuni ina sema Akidi ya vikao vya Bunge
  77.-(1) Akidi kwa kila kikao cha Bunge wakati wa kufanya maamuzi
  itakuwa ni nusu ya Wabunge wote, kama ilivyofafanuliwa katika
  Ibara ya 94 ya Katiba, isipokuwa kwamba, idadi hiyo haitahusu hoja
  kuhusu uamuzi wa kubadilisha masharti yoyote ya Katiba kwa mujibu
  wa Ibara ya 98 ya Katiba.

  "Akidi"
  ni idadi ya Wabunge inayoruhusu kufanya maamuzi ya
  Bunge kwa mujibu wa Kanuni za 77, 78 na 79 a Kanuni hizi;

  Hivyo kwa kupitia kipengele hivi wabunge hawatutendei haki Ukiangalia baadhi ya bajeti nyingi ikiwemo bajeti ya Africa Mashariki iliyopitishwa jana wabunge walikuwa hawafiki NUSU ya idadi ya kufanya maamuzi na bajeti imepita, kwa kufuata mtililiko huu ndo maana mkaka sasa Watanzania tunalia na SHERIA ILIYOPITISHWA NA WABUNGE KUHUSU MFUKO WA MAFAO
  "KWA MTIZAMO BUNGE LETU LA TANZANIA LIMEKUWA SI SEHEMU YA KUTUSAIDIA WATANZANIA BALI NI SEHEMU YA MAVUNO TU" WATANZANIA AMKENI JAMANI NCHI IMEKOSA MUELEKEO JAMANI INAUMA. TUFANYEJE?
   
Loading...