mbwa matajiri zaidi duniani!!!

Rebel volcano

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
403
86
mukiona maisha magumu tanzania,itabidi mukawatolee huduma za kuwashughulikia,ili mtajirike haraka!utajiri wa fasta bila mihangaiko!!
 

Attachments

  • mbwa 1.jpg
    mbwa 1.jpg
    4.2 KB · Views: 95
  • mbwa 3.jpg
    mbwa 3.jpg
    26.3 KB · Views: 88
  • mbwa 2.jpg
    mbwa 2.jpg
    34.6 KB · Views: 104
  • mbwa 4.jpg
    mbwa 4.jpg
    9.3 KB · Views: 83
toa basi maelezo....ni mbwa wa nani.....anapatikana wapi na huo utajiri wake ni upi......?
 
funguka vizuri huo utajiri wao ukoje au wanaowamiliki ndo wanautajiri?
 
Acha uwongo. Mbwa Wendy siyo tajiri bana.

Tena ana ugonjwa na siyo mwili wake asilia.....
 
kazi kweli kweli mtoa story katupa tena nakazi ya kutafuta ukweli, basi hata mm najua Ng'ombe na Mbuzi matajiri duniani tafuta na Google neno mbuzi tajiri
 
kazi kweli kweli mtoa story katupa tena nakazi ya kutafuta ukweli, basi hata mm najua Ng'ombe na Mbuzi matajiri duniani tafuta na Google neno mbuzi tajiri
hapo hakuna kazi ma mdogo ni ku click hiyo link na kusoma hiyo habari au hata ku click link kwako ni kazi!!!
kweli kwa kizazi hiki tutegemee migomo zaidi!!
 
Back
Top Bottom