Niuongo na uzushi kusema wanajeshi wanaunga mkono serikali hebu tuangalie facebook page zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niuongo na uzushi kusema wanajeshi wanaunga mkono serikali hebu tuangalie facebook page zao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanaharakatihuru, Jul 30, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa utafiti mdogo nilio ufanya kwa rafiki zangu na timeline za wanajeshi takribani 20 wakubwa ninaowajua nimekuta wakiizodoa serikali pasipo kificho. Nadhani Facebook inatupa nguvu wananchi kujua kwamba tunasupport kubwa ya mabadiliko ambayo tunaweza kutumia kwa manufaa ya nchi yetu.

  Je rafiki zako wanajeshi kwenye facebook wana huu uthubutu?? na je umeplay role yako kuwahamasisha katika safari ya mabadiliko chanya?? Timiza wajibu wako tumikia taifa lako.

  Amani sio ujinga Amani ni uwajibikaji.
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Kijana nafikiri una matatizo ya akili, uanajeshi siyo ajira tu bali kujitolea kwa harufu ya damu.
  Hayo si maneno yangu bali ya marehemu Edward Sokoine.

  Kama uthubutu huo unaouongelea unao, wtaje majina yao hapa jamvini.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nyimamadogookumanga
   
 4. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  tofautisha mgambo wa kwenye makampuni ya ulinzi na makamanda. Chezea wanajeshi weye
   
 5. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Nenda angalau JKT maana JW huwezi ndio utajua unachokisema km kuna ujinga wa facebook huko, acheni kukwepa / kujongo maana hata harufu ya baruti huielewi.Mimi ningekushauri mapori yapo mengi unaweza tangulia hata kwa manati uone km kuna mtu atakufuata lakini humu kwenye mitandao utapata support kibao
   
 6. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo lenu mnakaa kipashukunaku hata kufanya utafiti wa moja na mbili Je unarafiki mwanajeshi facebook?? Mwenye elimu zaidi ya form six?? angalia FB page yake
   
 7. c

  chiborie JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  kwani huongo? wanajeshi kibao hawaridhiki na mfumo mbovu wa utawala wa nchi kwa sasa.
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  We hilo neno linamaanisha nini!!?maana kona kibao umelitumia!
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mara ngapi tunasikia ulaya wanajeshi wako against baadhi ya government policies wapo wengi na hata hapa kwetu sema bongo kuongea hadharani against serikali lazima wakufanyizie lakini mimi ninaamini wapo sana...Nenda kaangalie maisha ya wanajeshi wanayoishi, mishahara wanayolipwa ndio utajua kama wanaisupport serikali au vipi..of coz wao ni wanajeshi so wakipewa amri na mkuu wa majeshi au amiri jeshi mkuu watafanya but hiyo haimaanishi wanawaunga mkono
   
 10. G

  Gaudays Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 11. m

  muafaka Senior Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa hiyo unafikiri utatuzi wa matatizo hayo ni facebook!! I thought kuna njia nzuri zaidi ya hiyo, Mazungumzo siyo kulalama kwenye social media.
   
 12. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145  unataka wanajeshi waishi maisha mazuri kuliko watu wengine . Umesahau pia jeshi ni kazi kama kazi zingine . Je wamesoma ? Au kwa sababu tu ni mwanajeshi hata kama ni darasa la saba au form 4 fail basi aishi vizuri kisa mwanajeshi. Basi kila mtu angekuwa mwanajeshi
   
 13. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Umesahau kumalizia “nheeee“ (in a nasal sound)
   
Loading...