Mchakato wa sensa Mbozi

Mzee wa fund

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
514
89
Akizungumzia kucheleweswa kwa majina ya watakao husika na sensa,Mwakilishi wa mkuu wa wilaya ya mbozi amesema wanachambua majina ya walimu walio goma ili waondolewe katika zoezi hilo.Nawasilisha.
Source:kikao cha madiwani wilaya ya mbozi.
 
wanasiasa wa mbozi waache siasa za maji taka wao wenyewe wanafahamu kuwa madai ya walimu ni halali kwa nini waingize mambo ambayo hayahusiki. Mh mwenyekiti wa halmashauri tunakutegemea hasa ukiwa ni kijana fanya issue wilaya isonge mbele.
 
Sasa ni visasi kwenda mbele lkn madhara ya kisasi cha walimu yatakuwa makubwa sana kuliko madhara ya kuwaondoa walimu kwenye sensa, wito kwa walimu ni kuwa wakati umefika wa kuelimisha jamii umuhimu wa kuchagua watu kwa uwezo wao na sio vyama wanavyotoka na pia kususia mazoezi yote ya uchaguzi ikiwemo uchaguzi mkuu,ikumbukwe kuwa walimu wanalalamikiwa kwa kuibeba ccm kwenye uchaguzi,teach them the lesson
 
Back
Top Bottom