Matatizo ya field elimu ya juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matatizo ya field elimu ya juu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fisi 2, Aug 3, 2012.

 1. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,330
  Likes Received: 516
  Trophy Points: 280
  Wakuu nimepewa ORDER na bosi wa School kuandaa paper na kuipresent tarehe 10/8/2012 mbele ya senate ya Chuo. issue ni matatizo wanayopata na wanayosababisha wanafunzi wakati wa field.

  Nakumbuka miezi kadhaa kulikuwa na uzi humu juu ya issue za field naomba anaeukumbuka aniunganishe tena. Pia nipeni michango yenu najua humu wanajf wapo baadhi mliopo field muda huu na mnaokumbuka issues hizo. THANX GUYZ.
   
Loading...