Jk kugawa ng'ombe wakati wa mgomo wa walimu maana yake wamasai waendelee kuchunga . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk kugawa ng'ombe wakati wa mgomo wa walimu maana yake wamasai waendelee kuchunga .

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by augustino ameri, Aug 3, 2012.

 1. a

  augustino ameri JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  KITENDO CHA KUGAWA NG'OMBE WAKATI WA MGOMO WA WALIMU,ILIMAANISHA KUWA WALIMU WALIKUWA WANATAKA KUWADHULUMU WAMASAI KWA KUDAI PESA AMBAZO ZIMETUMIKA KUFIDIA NG'OMBE WALIOKUFA KWA UKAME mwaka 2008.Pili alikuwa anawaambia wamasai waendelee na ufugaji badala ya masomo.
   
 2. N

  Nali JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 60
  Kiongozi sidhani kama upo sahihi maana mpango wa kugawa ng'ombe hao ulikuepo! Madai ya walimu yana umuhimu wake tena wa kipekee lakini pia fidia ya ngombe kwa hao wafugaji yana umuimu wake pia! Think Big!! Hata kama ww ni mwalimu lakini madai yenu hayawezi kukwamisha mambo mengine kufanyika tena yalokua kwenye mipango!!!
   
 3. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mbona ndg zangu wa Dodoma mazao yalipokauka kwa ukame hajawahi kwenda kutoa fidia?
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ishu sio kugawa ng'ombe na mgomo wa walimu, ila huo sijui niite mradi au sera aliyokuwa anaisema.

  Kila mwezi halmashauri itoe ng'ombe 500, hizo pesa zinatoka wapi? Na hii kutoa ng'ombe wanakamilisha nini? Ilani ya CCM

  kweli sikumwelewa laithi wangu kabisa.
   
 5. Paul Ndugulile

  Paul Ndugulile Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Rais hatakiwa kuwa na upendeleo, Mbona kuna wafugaji wa ng'ombe walitolewa kwa nguvu bonde la usangu na kusababisha kupoteza mifugo yao mingi na baadhi kufa, na kuporwa hawa hawepewi kifuta machozi kwa hasara waliyopata hasa ukizingatia serikali ndiyo iliwasababishia hasara hii? Hakuna sehemu ya nchi hii ambayo haijapata masaibu yanayofanana na ya huko Monduli, vipi na mkulima wa Pamba na kahawa aliyepelekewa mbegu ambazo zilikuwa mbovu atapata fidia gani?
   
Loading...