Wazazi walala hoi wamewangusha walimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazazi walala hoi wamewangusha walimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GTMOJA, Aug 3, 2012.

 1. G

  GTMOJA Senior Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgomo wa walimu ulitakiwa uungwe mkono na wazazi walalahoi kwani wangetakiwa kuingia barabarani na kuishin ikiza serikali kwan ikiwa serikali haita wajali walimu watoto wao ndio wanaoathilika na mgomo baridi utakaofanywa na walimu kwani watoto wa vigogo wa nasoma shule za bei mbaya kwa ujumla jamii imewasaliti walimu hasa hasa walalahoi tafakari
   
Loading...