Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini wanajamvi. Najua wengi wetu kutoka kasehemu haka ka dunia (tz) hatuna utamaduni wa kusoma na hasa haya maandishi dizaini hizi inachosha. Ila atakayejisikia vizuri anaweza kupitia ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tukio hili lilitokea Magadirisho,Usa-River baada ya CHADEMA tawi la Magadirisho kufanya mkutano mkubwa mbele ya ofisi ya CCM tawi la Magadirisho katika kiwanja cha sokoni au gengeni Jumamosi 11...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya Ndugu Godbless Lema kukosa msaada ya pesa toka kwa Meya Boris Johson wa London, aliamua kuomba misaada makanisani kwa ajili ya Chadema, J’pili ijayo, Mr. Lema anategemea kufanya harambee...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Nimekuwa na muda mzuri sana toka juzi jana na leo hii nimekuwa napitia post mbalimbali humu jf za siasa na nilichogundua zaidi ya ritz hamna mwana ccm anayeweza kuhimili huo moto wa gas m4c...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Majimbo ya wanafiki yanatakiwa kurudishwa nyumbani.....................je mnayajua? Mtera,Same Mashariki,Simanjiro,Bunda na mengine mtayajazia wenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mtoto Consolatha Donald (7) akiaga mwili wa marehemu baba yake huku akiwa mikononi mwa mama yake mzazi Diana. Mwanasheria Aman Mwaipaja ambaye alijitolea kumtetea bure marehemu Dunga kwenye...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Juzi Jumamosi nilikuwa naskiliza kipindi cha watoto nimekaa nyumbani nilisikitika sana wanafunzi hao wa darasa la tatu na la nne hawajui kabisa kutenganisha maana ya Nahau,Methali na Vitendawili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear brothers n sisters,M4C imeleta mageuzi maeneo mengi sana,je huko kwenu kukoje?Imeshapita?Fikra mpya zimezalishwa kwa escape velocity?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
leo katika taarifa zao kulikuwa na habari iliyo ihusu chadema na mikutano ya kutafuka wanachama wapya, wakati wanamhoji kiongozi wa chadema gafla matangazo ya biashara yakaanza kurushwa na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Katika harakati za kuipinga na kuiondoa CCM madarakani ,humu jamii forum tunaanzisha rasmi jeshi la kupinga kuonewa,kunyanyaswa pamoja na udhalimu mwingine wowote unaofanywa na serikali hii ya...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Zanzibar says it is in the process of de-registering 36 Iranian oil tankers that bear the flag of Tanzania after an investigation proved their true origins. Zanzibar Vice President Seif Ali Iddi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
UGONJWA wa Ukimwi hautakuwa tena janga la kitaifa nchini miaka michache ijayo baada ya Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids) kueleza kuwa Tanzania imekusudia kubadili sera na mikakati ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Huko Mbeya kwa mujibu wa vyombo vya habari JK kasema haya, “Nafahamu kuwepo madai ya baadhi ya watu kutakaswali la watu kuwa na dini gani liingizwe. Swali hili halipo na halikuwahikuwepo kwa nia...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Kwenye blog ya michuzi jamaa anaonekana yuko fit.big up.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau, kwa taarifa za uhakika Dr.Steven Ulimboka anarudi nchini kesho, Madaktari wote na wadau wote mnaombwa kufika uwanja wa ndege saa sita na nusu mchana kwa ajili ya kumpokea jemedari...
0 Reactions
102 Replies
13K Views
jamani leo ni siku ya tano mtandao wa voda hauna network,hapa makambako ukipiga number is busy,afu wameuchuna hata taarifa yoyote kmya
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Soma kisa cha tajiri wa Kiganda aliyehukumiwa kufungwa maisha baada ya kumuua mtoto ili kutoa kafara. Imani za kipuuzi zikichanganyikana na tamaa na balaa. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Serikali ya Malawi imepuuza tishio la Tanzania kuhusu mzozo wa mpaka kwenye ziwa Nyasa na kusisitiza kwamba ziwa lote ni la Malawi hivyo utafiti wa Mafuta utaendelea. Waziri wa mambo ya ndani na...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Mimi sio mfuasi wa chama chochote tanzania, you can not blame me but vyama vyote havisimamii slogan zao, zinafata siasa za upepo....All in all like everybody else nataka mabadiliko katika...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni katika pita pita za mshikaji akakutana na hii shule bora kabisa ya serikali ambayo ina mwalimu mmoja yeye ndoyo mkuu, msaidizi, mwalimu wa zamu, mwalimu wa nidhamu, mwalimu wa taaluma na kila...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…