CCM Magadirisho waumbuka wanachama wao warudisha kadi mbele ya ofisi yao ya tawi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Magadirisho waumbuka wanachama wao warudisha kadi mbele ya ofisi yao ya tawi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Emashilla, Aug 12, 2012.

 1. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Tukio hili lilitokea Magadirisho,Usa-River baada ya CHADEMA tawi la Magadirisho kufanya mkutano mkubwa mbele ya ofisi ya CCM tawi la Magadirisho katika kiwanja cha sokoni au gengeni Jumamosi 11 Agosti 2012
  Nuru Maeda alidaganya vyombo vya habari kwamba alihamia CCM na wana-CHADEMA 15 na CCM wakajigamba kuwa waliibomoa ngome ya CHADEMA Arumeru. Huyu alikuwa mwenyekiti wa tawi la Magadirisho(CHADEMA) akavaa gamba mwezi uliopita. Nuru Maeda afananishwa na mtu ambaye nyumba inawaka moto na yeye huzidi kuingia ndani ya nyumba hiyo badala ya kujiokoa. James Ole Millya alimfananisha Nuru na mtu aliyetolewa kafara. CHADEMA yawavua magamba wanachama wa CCM zaidi ya 70 na wengine wanaendelea kuleta kadi za CCM hadi wakati naandika ujumbe huu nimepokea simu za watu wanohitaji kadi za CHADEMA.
   
 2. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  gooooooooooooooooooooooooooood luuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuck.
   
Loading...