Hongera Halmashauri jiji la Arusha

CHEMPO

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
368
59
Napenda kuipongeza halmashauri yangu ya jiji la arusha kwa kuwa na mikakati ya kuweka jiji safi kuanzia tarehe 1/9..hii itaambatana na kuwaondoa wafanya biashara wadogowadogo maeneo ya mabarabarani
rai yangu:
Ni vyema hawa wafanyabiashara wakatafutiwa mahali pa kufanyia biashara.hii itaepusha mapigano ya mara kwa mara
 
Mkuu mikakati bongo imejaa tele na ni mizuri sana! Nakushauri subiri utekelezaji ndipo utoe hizo pongezi zako!
Ada ya mja hunena mwungwana vitendo!
 
Unapongeza mkakati au unapongeza huo mji umekuwa safi? Tangu 2006 serikali iko kwenye mkakati/mchakato wa kuondoa tatizo la mgawo wa umeme. Nakumbuka miaka ya 80/90 mchakato ulikuwa maji safi kwa wote ifikapo mwaka 2000 (Leo 2012 michakato imeelekezwa 2015 na 2025). Kuwa mpole subiri jiji lako liwe safi kisha PONGEZA.
 
Back
Top Bottom