Malipo ya Sensa utata Ilala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya Sensa utata Ilala

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by maoniyangu, Aug 21, 2012.

 1. m

  maoniyangu Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  makarani wa sensa wilaya ya ilala kituo cha zawadi secondary wamegoma kula kiapo cha kufanya kazi ya sensa mpaka watakapopewa malipo ya semina ambayo hawajamaliziwa. Hakuna kinachoendelea hapa, ilibidi watu wapewe vifaa leo ila hata vifaa havijaonekana. Sidhani kama kuna sensa hapa, serikali inachezea hili zoezi.
   
 2. MAVUNO

  MAVUNO JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  kila la kheri mnaohesabiwa, wenzenu karatu wameahidiwa pundamilia, nyie ombeni kuku
   
 3. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  bora wagome kwani hata hao wa kuhesabiwa nao wameshagoma. Hatuhesabiwi mtu. Sensa imeshafeli mpaka sekunde hii,hata media zisiporeport wala haisaidii chochote. Serikali inahangaika na masheikh ili wakubari ivi leo wameitwa ikulu mara ya pili baada ya kikao cha wiki iliyopita. Hoja za waislam ni hoja za kimataifa. Hazipingiki. No sensa mpaka vipengere husika viwekwe.
   
 4. B

  B.Panther Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nyumba niliyopanga,hakuna rangi wataacha kuona hao wahesabuji,tutafunga mageti na kila swali jibu litakuwa mimi sio msemaji wa familia...:sleepy:
   
 5. toto zuli

  toto zuli Senior Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  sasa kwa nini wasifanye kazi kwa kujitoleaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mpaka walipweeeeee
   
 6. p

  pua kubwa Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utakua na matatizo ya akili ww
   
Loading...