daraja ajabu ktk mto momba mpakani mwa wilaya mpya ya momba na sumbawanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

daraja ajabu ktk mto momba mpakani mwa wilaya mpya ya momba na sumbawanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwela, Aug 22, 2012.

 1. m

  mwela Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  limetengenezwa kwa nyaya na vipande vya mbao unapo vuka linanepa cha ajabu zaidi watu wa bodaboda huvuka wakiwa wapanda inatisha sana.
   
 2. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Habari hii ingekuwa na picha ingependeza zaidi tukaelewa unachokisema...!
   
 3. i

  isoko Senior Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  tumekusikia tunataka kuona sasa
   
Loading...