wachina ni machinga na wapiga rangi majumba na wajenzi wazawa tufanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wachina ni machinga na wapiga rangi majumba na wajenzi wazawa tufanyaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanaharakatihuru, Aug 21, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli hii kiboko wazawa tufanyaje? Let's chase them out liwalo na liwe
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Endeleeni kukaa kwenye vijiwe vya kahawa na kupeana 'breaking news'
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Halafu mnalalamika Tanzania hakuna fursa, wenzenu wanatoka China wanazifata mpaka huku.
   
 4. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  Sisi wazawa ni wavivu, hatutimizi ahadi, na wezi pia[kwani hata mkipatana bei ya kazi bado anataka kukuibia}
  Kuna msema usemao 'nature haitaki vacuum' hivyo basi hawa jamaa wanafill the vacuum in terms of workmanship, efficienty and time management. WACHA WAJE KWANI UPUUZI WETU NDIYO UNAOSABABISHA WAPATE KAZI HIZO.
  SISI TWAPIGA DOMO WENZETU WALA
   
 5. papason

  papason JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli tunahitaji 'wachina' waje watuamshe kwenye usingizi wa pono, tumekuwa watu wa kulalamika tuu
   
Loading...