Nyumba ya serikali pale Ada Estate | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya serikali pale Ada Estate

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Maundumula, Aug 22, 2012.

 1. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Habari bandugu,

  Kuna nyumba moja ambayo nadhani ilikuwa ya serikali pale Ada Estate , kama unatokea ST Peters karibia ya kukata kona ya kuingia Ali Hassan Mwinyi Rd unakuwa unaiona. Ile nyumba imeshavunjwa na sasa naona kuna ramani ya ghorofa kubwa tu la kitega uchumi. Sasa swali langu je hawa wastaafu waliouziwa nyumba za serikali wanaruhusiwa kuzibadilisha matumizi ama kuziuza? Au hii nyumba haikuwa miongoni mwao maana mimi nikiona vigae vya zamani najua ya serikali. Naombeni ufafanuzi kwa mnaofahamu.
   
Loading...