Kilimo kwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimo kwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mjanga, Aug 21, 2012.

 1. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Sasa yapata mwaka mmoja tangu sera ya "kilimo kwanza" ipitishwe na pia msimu mmoja wa mavuno tayari,
  mwenye tathmini ya hali ya kilimo na mazao yake atujulishe tafadhali!
  je imekuwa na maslahi kwa taifa au ilikuwa ni namna nyingine ya kuchota ela za umma??
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Ulisikia wapi kuwa Tanzania kuna sera ya KILIMO KWANZA?, onesha vielelezo vya uweo wa sera hiyo ndo tuanze kujadiri mafanikio au la. Kama huna vielelezo, iache JF iendelee kuwa jukwaa la GT na si mahali pa porojo.
   
Loading...