maombi maalum | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maombi maalum

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by YLH, Aug 21, 2012.

 1. Y

  YLH Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maombi Maalum.
  Mtumishi wa Mungu Bishop Zachary Kakobe Ijumaa August 31, 2012 atafanya maombi maalumu kupitia facebook. Unachotakiwa kufanya nenda kwy website ya www.bishopzacharykakobe.org (link hiyo hapo chini) chini kidogo utaona link ya facebook just click. kisha like the page. Uki-like the page, yeye ataona link yako, jina na picha kisha tafanya maombi maalumu kwa kugusa picha yako via facebook na kulitaja jina lako siku ya Ijumaa 31, 8, 2012. Ila kumbuka, andika maombi matano ambayo unataka kuombewa--sio kwy facebook bali kwy karatasi yako binafsi, kisha siku hiyo yaani 31/8 tafuta muda faragha muombe Mungu au yasome ulioandika moja baada ya jingine. Mtumishi wa Mungu akiomba atasema kwa mfano, Bwana umpatie haja ya Abduel Elinaza sawa sawa na maombi yake, la kwanza la pili....nk. kisha hifadhi maombi yako na kabla ya mwaka kuisha utatiki moja baada ya jingine...maombi yako ni siri yako na Mungu. Kumbuka ktk Daniel 12:4 siku za mwisho maarifa yataongezeka....maarifa ya leo ni kwa ajili ya ufalme na nguvu za Mungu...pia Matayo 7:7-11 umbeni nanyi mtapewa... https://www.facebook.com/bishopkakobeministries
   
Loading...