Serikali - Magari ya uchafu na mabasi ya UDA ni chakavu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali - Magari ya uchafu na mabasi ya UDA ni chakavu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mess, Aug 21, 2012.

 1. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Magari chakavu ya uchafu (ya halmashauri) na UDA yanasababisha ajari nyingi sana barabarani, ukiona magari ya taka kwa wale wanaoishi ukonga wanajua jinsi yale magari ambavyo yameshasabaisha ajari nyingi mbaya kabisa. Mabasi ya UDA ukiyaona ni chakavu sana sana, sasa serikali inatoa mfano gani kwa watu wengine? Na watu wa usalama haya magari huwa
   
Loading...