Namba ya huduma kwa wateja DAWASCO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namba ya huduma kwa wateja DAWASCO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Carina, Aug 18, 2012.

 1. Carina

  Carina Senior Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kila nikipiga hii namba huwa haipokelewi kamwe, badala yake wanakula hela yangu tu kwa matangazo yao! Kwa nini hii namba haipokelewi? Mwenye msaada tafadhali tupia hapa Jukwaani! Anyway nilitaka kuwauliza kwa nini mitaa ya Kimara Temboni maji hayatoki hii wiki ya tatu mfululizo! Namba yao ya 0775048554 ya Kimara haipatikani kabisa ...
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mbona namba ni ya Morogoro hiyo na hyo ya pili ni ya modem!! Wewe Ti au Si?
   
 3. Kifaranga

  Kifaranga Senior Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Halafu ukienda pale ukiwauliza wanajibu kirahisi kabisa kwamba eti huwa wanachelewa kuhamisha maji hivyo pressure inakuwa chini, ................ kuhamisha maji hufanyika saa 7 usiku sasa hao huwa wanafanya saa mbili asubuhi, hence pressure ya kusukumia maji kwenda kwa wateja inakuwa ndogo sana au hakuna kabisa na ukizingatia muda wa mgao wa maji uko pale pale ................... kazi ipo
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  unatkiwa unawalipa ukijisikia tu..
   
Loading...