Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nasikia kuna issue ya mababa wa mataifa, lakini sijawahi kusikia ma-Mama wa mataifa, Mbona hakuna Gender Balance. Mama wa taifa hili ni nani?:spy: Samahani kama nimewaudhi, akina mama
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Gazeti la Rai leo limeripoti hivo. Naona Membe ni bora ashinikize kufunguliwa kwa gazeti la sivo 2015 watamchafua maana ushaidi naskia upo. Ni kwamba anaogopa kigogo flani wa usalam akitoka pale...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni kitu ambacho kinasikitisha kila ninapokifikiria, kwamba disaster ya Spice Islander ya Zanzibar iliua watu wanaokadiriwa kuwa 2800, wakati ile ya Titanic iliua watu wapatao 1500. Na ni kweli...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
  • Closed
FACTS OF NGO: Mwenyekiti ni Mkwe wa Mtei, Muasisi: Mbunge Grace Kiwelu ni Mkwe wa Mbunge Ndesamburo: Mbunge Lucy Owenya ni Mtoto wa Mbunge Ndesamburo; Mbunge Lissu ni Dada wa Mbunge Tundu Lissu...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Taarifa zilizo rasmi kutoka kwa baadhi vya viongozi waandamizi wa NIDA ni kuwa zoezi lililofanyika la uandikishaji vitambulisho vya uraia jijini DSM litarudiwa upya kutokana na kuvurunda kwa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa wale watakaosimamia zoezi la sensa ya watu na makazi ndo hao hao watakaoshiriki katika kutoa vitambulisho. SAsa wale jamaa sugu wa kukataa kuhesabiwa hoja yao kwisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Burj al Arab The offer is open to all classes of tickets booked on Emirates between August 13th and August 20th for travel period between September 6th to October 5th 2012. Dubai has...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Nafikiri lisu anajiandaa kuwa kiongozii wa juu wa serikali ya chadema ,na mimi naamini anauwezo hata wa kuwa waziri mkuu embu nijuzeni kati ya Mh. Lisu na Waziri mkuu Mh. Pinda nani anafaa kuwa...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
  • Closed
Ili kuepuka yale yaliomtokea Masauni(aliekuwa mwenyekti wa UVCCM) kujiuzulu kwa kosa la kudanganya umri naomba kutoa tahadhari kama raia mwema kwa UVCCM kuepuka kosa hilo lisitokee na mwaka huu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pengine nitakuwa mchoyo wa fadhila kumuliza hili Rais wangu Kikwete majuzi nilisikia akisema swala la watu kushangaa Folen za magari na kusisitiza watu waelewe haya ndio maisha bora kwa kila...
0 Reactions
3 Replies
965 Views
Ni nani atasaidia barabara zetu zidumu zisiharibike mara kwa mara Ni nani atasafirisha mizigo mingi kwa wakati mfupi na kwa usalama zaidi Ni nani atatusaidia kupunguza ajali za barabarani Ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ushabiki mwingine siuelewagi jamani,Ikishinda CCM sehemu yeyote Sheria imebakwa Ikishinda CHADEMA sehemu yeyote haki imetendeka kwani CCM haina haki ya kishinda katika sehemi yeyote au kwa jambo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida wilayan kasulu sinto faham imeibuka miongoni mwa makaran wa sensa kasulu mjini kuhusiana na malipo yao pamoja na makato wanayo katwa makarani tshs=2500 ya chakula...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau nilikuwa natoka dsm kuelekea mikoa ya kanda ya ziwa tulipofika kahama tukalala pale ili asubuhi ndio tuendelee na safari. Kwa kuwa nilikuwa mgeni nikaamua kulala kwenye basi pamoja na abiria...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu hali kutoka huko sio nzuri kama kuna mwenye mawasiliano na rais amwambie mambo ya South Africa yanendelea. Tunahitaji msaada wa redcross asap watu wanakufa. Naripoti kutoka mstari wa...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
Huku Mbozi makarani kwenye semina ya siku saba wanalipwa 35 elfu kwa siku,sijajua siku za kazi ambazo itakuwa siku saba je tutalipwa sh ngapi kwa siku? Jumla ya fedha zote kuanzia semina mpaka...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Ni bidhaa gani hapa tanzania ambayo ni made in tz ina thamani ya milion 5? Tusaidiane jamani
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Let say, Mbunge kaenguliwa ubunge na uamuzi wa Mahakama kwa sababu za kupata ushindi kwa njia za hila dhidi ya mpinzani wake katika zoezi zima la uchaguzi, kwanini yule aliyeshindwa asichukue...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hadi sasa na post nikiwa katika mstari wa mbele wa kudai haki yetu hapa madale mpaka kieleweke, ofisi ya CCM tumeshabomoa na kitaeleweka tu.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…