Chadema read this!!!

Mangimeli

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
1,151
286
Ushabiki mwingine siuelewagi jamani,Ikishinda CCM sehemu yeyote Sheria imebakwa Ikishinda CHADEMA sehemu yeyote haki imetendeka kwani CCM haina haki ya kishinda katika sehemi yeyote au kwa jambo lolote na hako ikawa imetendeka hili linakera kuna,mwingine anayekerwa na,hili kama mimi??
 
hivi kesi ya ngedere na kuku ukimpelekea nyani awe hakimu unategemea nani atashinda???
 
hivi kesi ya ngedere na kuku ukimpelekea nyani awe hakimu unategemea nani atashinda???

itategemea na haki pia.ngedere anaweza shinda ,poa na kuku anaweza shinda pia.
 
washabiki wa chadema wote sidhani kama wana akili timamu
 
Ngoja ule muda ukifika kwn utajua hawa akili ama wanayo!
Na bila shaka member kama wewe jukwaa hili la siasa kamwe hautaweka macho yako ya makengeza uliyo nayo!
Koroboi wahid wewe!

Unaongea huku unatokwa na mapofu huna hata haya na usemacho!

Tafakari kabla ya kufika jukwaa zingine!


washabiki wa chadema wote sidhani kama wana akili timamu
 
Back
Top Bottom