Usalama wa mabasi ya abiria. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usalama wa mabasi ya abiria.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by king kan, Aug 23, 2012.

 1. king kan

  king kan JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,267
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  Wadau nilikuwa natoka dsm kuelekea mikoa ya kanda ya ziwa tulipofika kahama tukalala pale ili asubuhi ndio tuendelee na safari. Kwa kuwa nilikuwa mgeni nikaamua kulala kwenye basi pamoja na abiria wengine. Usiku mara abiria wakaanza kulalamika kuwa kwenye mabasi kuna kunguni (pamoja na abiria wa mabasi mengine yaliyokuwa pembeni yetu). Tatizo hili ni la mabasi haya yaendayo Bukoba, Kigali na Bujumbura au ni common na kwa mabasi ya route nyingine pia? Naomba kuwasilisha.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,351
  Likes Received: 22,195
  Trophy Points: 280
  Tanzania tunapenda sana kulalamikia sehemu ambazo hatuwezi kusaidiwa. Tiketi unayo na ina anwani ya mmiliki. Mpigie mmiliki mwambie ayapulizie dada ya kuua wadudu magari yake. Pia hapo stendi pana trafiki, mwelezeni kuwa gari ni chafu, lisiondoke hadi lipigwe dawa.
   
Loading...