William J. Malecela na upuuzi wake!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

William J. Malecela na upuuzi wake!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Aug 23, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  [FONT=&amp]FACTS OF NGO: [/FONT][FONT=&amp]Mwenyekiti ni Mkwe wa Mtei, Muasisi: Mbunge Grace Kiwelu ni Mkwe wa Mbunge Ndesamburo: Mbunge Lucy Owenya ni Mtoto wa Mbunge Ndesamburo; Mbunge Lissu ni Dada wa Mbunge Tundu Lissu: Mbunge Viti maalum Kigoma ni Mchumba wa Mbunge Zitto:
  - SWALI: WAKISHIKA NCHI SI NDIO FAMILIA ZAO ZOTE NDIO ZITATAWALA JAMANI? HAWAJASHIKA NCHI TU HIVI SASA WAKISHIKA NCHI ITAKUWAJE? - LE MUTUZ. [/FONT]William J. Malecela
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Wakikaa bungeni huwezi kutofautisha na vikao vya familia sebuleni kwao.
   
 3. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  huyu jamaa ana tabia kama za mama yake wa kambo Mama Anne Kilango Malecela, yaani jitu zima lina fikra finyu
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wilium walimtema balaaaaa,waangalie kina makamba,dr mwinyi,
  nasikia kawabwa atasugua bench 2015 maana mwenye jimbo (liziwani)anaenda kulichukua.
  na kibaya zaidi angalia mwenendo wa viti maalum vinavyotolewa,
  maskini familia ya mwenye haki julius nyerere ilitelekezwa vibaya.
  kibaya zaidi nape ndo amebaki mhanga peke yake.

  hao ni baadhi tu.
   
 5. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Ongezea na hii... Rose Kamili ni Mke/Mtalaka wa Katibu Mkuu Dr Slaa. Mbunge Kiwia ni mjomba wa Mbunge aliyevuliwa Mhe Lema. Mkurugenzi wa Uchaguzi Mr Mrema ni shemeji wa Mbunge Salasini. nk nk.

  Huo ndio ukweli, umewekwa hadharani peupee na hakuna ubishi.
  Kwa mtizamo wa haraka haraka, CHADEMA inafanana na kampuni au NGO ya familia. Haiwezekani taasisi ya namna hii ikabidhiwe nchi itawale. Tz itakuwa imekwisha.
   
 6. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kwani kunatofauti gani Baba yake , Mama yake na yeye mwenyewe? Si familia nzima bora hao dada, wachumba na wakwe....Ulitegemea watoke wapi wa kukiongoza chadema ? kama Wiliam na mama yake ni wa ccm?
   
 7. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Subiri na Josephine basi awe mBunge ili uchonge vizuri!
   
 8. m

  mamajack JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  pamoja na hayo yote wamewavua magamba nguo balaa,sasa hapo ni hao tu waliotajwa hamkai mkatulia ,ingekuwa zaidi ya hapo si mgetoa roho kabisa,halafu wote ni majembe ya ukweli .chezea chadema weye utaumbuka.
   
 9. m

  mamajack JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  uwezo ukiruhusu lazima maana uongozi sio urith ila ni uwezi.kwahiyo kama yuko vizuri tunamchagua tena kwa roho safi kabisaaaaa!
   
 10. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nyani haoni kunnddule, william ni mtoto wa waziri mkuu wa zamani, john malecela ambaye pia alikuwa mbunge na makamu mwenyekiti wa ccm. William alitaka ubunge wa afrika mashariki, kwanini naye anajiingiza kwenye siasa? Ni kwa sababu ya kuwezeshwa na mazingira ya kuwa mtoto wa mwanasiasa, kujaribu kutumia jina la baba yake. Kama isingekuwa jina la baba yake (mwanasiasa) nani angemjua?
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  "You are not who are, you are what you make". Kwangu mimi viongozi wa juu (wa chama chochote kile) wanatoka familia moja sio shida hata kidogo, shida ni utendaji/uwajibikaji wao. Kwa mimi nataka maji safi, barabara za uhakika, elimu bora, huduma nzuri za afya, usimamizi mzuri wa rasilimali za nchi etc. I dont care wanasimamia hayo mambo wanatoka wapi, wana mahusiano gani.

  Mawazo kwamba sasa tuanze kuangalia 'mahusiano' baina ya viongozi badala ya kuangalia uwezo/uwajibikaji wao ni kutoa watu kwenye mambo ya msingi. Na hata katiba (hii mbovu) tuliyonayo haikatazi wana ndugu kushika nyadhifa mbalimbali kwa wakati mmoja.

  Siasa za ccm ya sasa zinasikitisha sana. Nchi hii inaliwa na mchwa lakini wanatoka ma-strategists na hoja za kipuuzi kama hizi.
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,345
  Likes Received: 19,529
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa mwili mkubwa ndio unamsumbua ...mwili umazidi ubongo mnategemea nini?
   
 13. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kumjadili huyo bonge kwanza ni kupoteza Muda wao familia nzima wanasiasa kwani hakuna kazi nyingine kama si kubebana
   
 14. M

  Malova JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mnyika mdogo wake Mbowe kwa mama mdogo
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Coming back to JLO ndio movie inayokuja ya Sintah. Kubwa jinga Le Mutuz ndio nalo lipo huko, siasa imeshamshinda sasa amebakia kuimba Taarabu tu, mamiyake.
   
 16. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwani analalamika nini mtoto wa John? Ndio hali halisi ya nchi yetu na dunia kwa ujumla mbona. Ningemuona wa maaana sana angeanza kulalamika nyumbani kwao ambako Baba yake na mama yake ni/walikuwa viongozi CCM!
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,602
  Likes Received: 82,171
  Trophy Points: 280
  ...Mkuu siku zote nyani huwa haoni kundule huona yale ya wenzie. Kelele zote hizi ni katika kujaribu kujisafishia njia kuelekea 2015....Njaa kali inamsumbua sana....usicheze kabisa na njaa kali.

   
 18. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  sisim,sisim
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 20. m

  mwakitundilo Member

  #20
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  yusufu makamba/ januari makamba, namelok sokoine/edward sokoine, vita kawawa/zainabu kawawa, anna kilango malecela/john samwel malecela, danstan kitandula/luka kitandula, yusufu masauni/ hamad masauni. samahani napita tu!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...