Breaking news madale vita: Ofisi za ccm zavunjwa ffu na wananchi wenye silaha kisa kuvunjiwa nyumba

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Hadi sasa na post nikiwa katika mstari wa mbele wa kudai haki yetu hapa madale mpaka kieleweke, ofisi ya CCM tumeshabomoa na kitaeleweka tu.
 
Mhh sasa Tanzania cjui tunaelekea wapi jamani. Poleni wale wote mliokumbwa na mkasa huu. Kiukweli Ardhi inatoa sana roho za watu

Kwanini wasitatue kwa Diplomasia hilo suala?

Mfano Malawi Serikali inajifanya kutatua kwa Diplomasia wakati kwa raia wake ni vita mbona hii kitu Hai make sense hata kidogo?

Mbona Malawi hawakufatwa na Majeshi huko kwao?
 
Hebu elezea chanzo ni nini, maana unawaelezea watu walio mbali naeneo husika.
 
Wavamizi wa hayo maeneo ndio wanaoleta vurugu kwa kujaribu kuzuia oparesheni ya polisi,kwa kutumia mapanga na mishale,
 
Hadi sasa na post nikiwa katika mstari wa mbele wa kudai haki yetu hapa madale mpaka kieleweke, ofisi ya CCM tumeshabomoa na kitaeleweka tu.

mmetumwa nyie sio bure, sa mnagombana na ofc za ccm? Kwel elim zen magumashi..karne hii inairudi luddism, mjipange upya kwa staili hyo ht hak mnayotfa hamjui inapatkana wap kutaleta maadiliko kweli? Ha ha haaa
 
Hadi sasa na post nikiwa katika mstari wa mbele wa kudai haki yetu hapa madale mpaka kieleweke, ofisi ya CCM tumeshabomoa na kitaeleweka tu.

sasa ofisi ya ccm imewakosea nini jamani?are u a great thinker?mnabomoa ofisi unashindwa kuwakaliza chini hao watu na kuwaelezea procedure za kufuata?
 
hahaaaa msikatane mapanga nyie wana suala hili liko mahakamani mbona
 
Back
Top Bottom