Rais wangu Kikwete kumbe unatusanifu unapotupungia mikono Vituo vya Basi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Pengine nitakuwa mchoyo wa fadhila kumuliza hili Rais wangu Kikwete
majuzi nilisikia akisema swala la watu kushangaa Folen za magari
na kusisitiza watu waelewe haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania
yale aliokuwa akisema wakati anaingia.....na ndio maana magari yamejaa na kila mtu ana gari sasa
loh.

sasa basi ni wakati muafaka wa Mh Rais wangu kuuliza na sie tunaoshinda vituo
vya mabasi kila siku na ukipita kuna wale wasiokata tamaa kusubiri hiyo maisha
bora kwa kukupungia mkono ..je mh rais wangu na sisi unatuambiaje kwenye
hili la maisha bora ama kushinda vituon na yo n mpango wa maisha bora kwa kila
mtanzania kwa kutuwekea mataa kwenye vituo usiku wengine wanaamua kulala
wakisubiri mabasi???
 
Rais wako kikweteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!ni msikifu,mchimba kazi kwelikweli!atasikia.
 
Haahaaa mama jack akiona upo lazima ajibu sitoacha kusubiri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom